Namkubali sana huyu binti jinsi anavyoripoti matukio mapya na alivyo "committed" kwenye kibarua chake; jinsi anavyoibua habari mitaani. Ni kama Jerry Muro wakati uleeee kabla ya kukwaa kisiki. Big up sana madame and keep it up!
Nipe namba ya huyo dada tafadhari
Ya akaunti ya benki, au?
Oops! Nilidhani anataka kumwezesha.
Bona Bonge wa Clauds humfagilii? Anapanda mpaka migomba njiani bana.