Ufoo Saru...

Namkubali sana huyu binti jinsi anavyoripoti matukio mapya na alivyo "committed" kwenye kibarua chake; jinsi anavyoibua habari mitaani. Ni kama Jerry Muro wakati uleeee kabla ya kukwaa kisiki. Big up sana madame and keep it up!

Kamsalimie pale muhimbili umfikishie na hizo salaam. Atafurahi kweli.
 
Mungu akuponye upesi urejee kuitumikia jamii. My TV HAS TURNED BORING WITHOUT YOU UFOO SARO.

mbona kama unatudanganya as if Ufoo alikuwa anatangaza vipindi 24/7 kumbe

hata akiripoti taarifa za habari zilikuwa hazizidi 4..tena hapo ni nyingi sana...
 
mbona kama unatudanganya as if Ufoo alikuwa anatangaza vipindi 24/7 kumbe

hata akiripoti taarifa za habari zilikuwa hazizidi 4..tena hapo ni nyingi sana...

Huwa naangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku tu, hivyo vipindi vingine havinihusu
 
basi sema taarifa ya habari iz boring..taarifa yeyewe alokuwa anaripoti
hata sio nyingi

Are you the killer's relative? Ok; tufanye Ufoo huwa haripoti kitu kabisa kwenye TV. Is it cool with you now?
 
Hebu acheni kutuzuga kwanzaa. Hebu tuambieni, kwa nini ANTHERY MUSHI, alichukua uamuzi wa kuiua familia nzima ya Huyu Dada etu????.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…