Ufugaji bora wa sungura kwa ajili ya kukuza kipato

Nje ya Mada kidogo:
Tatizo la Sungura kula watoto wake huwa linasbabishwa na nini na nini suluhisho lake?
Tatizo la sungura kula watoto linaweza sababisha sungura kupungukiwa na baadhi ya madini mwilini baada ya kuzaa kwa hiyo anakula ili kurudisha madini yaliyopotea mwilini pia ukosefu wa chakula cha kutosha pamoja na maji vinachangia sungura kula watoto.

Pia kama banda alipo vizuri yani linauwazi linaweza sababisha panya kula watoto ukajua sungura anakula watoto mana ndio adui mkubwa wa watoto wa wasungura.
 
Aione wa hapa hapa
 
Natafuta watoto wa sungura!!

Wawe wenye umri uliozid miezi 3

Idadi kubwa sana

Naombeni mwenye connection

0715552552
 
Back
Top Bottom