Ufugaji na kilimo unalipa sana

Aise umenifurahisha sn, mimi niko Ileje,lakini bado sijaanza kilimo. Kwa ss nimefuga nguruwee km 25 tu na nn shamba la karanga eka 1 tu. Mungu akinijalia nataka mwakani nianze vizuri. Naomba nikutumie kwa ushauri
 


mkuu hongera
 
Karibu kaka.
Ushirikiano ndio nguvu ya mafanikio
Aise umenifurahisha sn, mimi niko Ileje,lakini bado sijaanza kilimo. Kwa ss nimefuga nguruwee km 25 tu na nn shamba la karanga eka 1 tu. Mungu akinijalia nataka mwakani nianze vizuri. Naomba nikutumie kwa ushauri
 
Good.opportunity zipo nyingi.tatizo watu tunajikita ku overanalyze possible problems rather opportunity QUOTE=prosperity93;8539498]Safi sana niko nyuma yako mkuu ngoja nimaloze kusoma[/QUOTE]

Malafyale ubarikiwe sana kwa kutuhamasisha. hii shule imekuja kwa wakati.. kwa sasa naona nisifanye tena over analysis muhimu ni kuchukua hatua. Fursa za kilimo na ufugaji ni nyingi sana Tanzania vijana tuzichangamkie mapema kabla hazijaja nyakati mbaya ardhi itapokuwa hadimu sana. wakat ni sasa[/QUOTE]
 
Embu nii subscribe hii!!! Nashukuru kwa mawazo yako mazuri pia hongera sana mkuu!!!
 



Second part;
Ants think winter all summer.
Third part;
Ants think summer all winter.
Fourth part;
How much will ant gather during the summer to prepare for the winter? ALL HE POSSIBLY CAN!!!
I'm not sure if I've understood THE ANT PHILOSOPHY. Is it? Why are we in town? Am I waiting for weekends English Premiere League?
The ant philosophy!!! An incredible one.
After SUMMER comes WINTER!!!!!
Thanx for the seminar.
 
Mkuu umeniamsha sana sana..nami nipombioni kujikita kwenye kilimo na mifugo hizi kazi za kuajiriwa ni utumwa tu tatizo wengi tumeshakuwa brainwashed basi hatutaki kuamini! nakutakia kila la kheri mkuu...
 

kilimo linalipa sana wakuu kwa vitabu vyote vya kilimo na ufugaji usisite tupigie leo 0758303090
 
naungana na wewe mkubwa kilimo na ufugaji vinalipa miye nilipangiwa kazi wilayani tena kijijini niliwaza sana lakini bwana kilimo akaniambia kijana hii ni fulsa usijute kweli nikaanza kuwa nanunua kuku wa kienyeji wadogo nawatunza ndani ya miezi miwili nawapeleka sokoni yani shasahau mshahara kwani kwa mwezi natoa kuku sabini
 
mkuu mleta mada,Nimevutiwa sana sana na jitihada zako!
Niko mbioni kufuata nyayo zako!
 
Salama wakuu.
Tangu nianzishe hii thread nimepokea msg nyingi toka kwa wadau na wengine wametembelea shambani kwangu pia na wengine wameshaanza project zao.Nashukuru kwamba post hii imewa inspire wengi NA NIMEKUWA MSAADA KWA WENGI!
MASIKA HII IMEKUWA NZURI NA MAZAO YANAENDELEA VEMA KABISA.
NINA IMANI PICHA HIZI ZITAWAHAMISHA WENGI ZAIDI
 

Attachments

  • 1398681272092.jpg
    39.8 KB · Views: 256
  • 1398681302172.jpg
    48 KB · Views: 231
  • 1398681326667.jpg
    41.8 KB · Views: 227
  • 1398681362561.jpg
    40.5 KB · Views: 227
  • 1398681380282.jpg
    50.4 KB · Views: 218
  • 1398681405872.jpg
    66.7 KB · Views: 214
  • 1398681432461.jpg
    73.3 KB · Views: 212
  • 1398681480368.jpg
    90.9 KB · Views: 224
  • 1398681511637.jpg
    78.7 KB · Views: 216
  • 1398681549040.jpg
    77.6 KB · Views: 218
  • 1398681587267.jpg
    63.8 KB · Views: 225
  • 1398681696521.jpg
    110 KB · Views: 226
BIG UP MKUU
sijajua tu hiyo picha ya mwisho ni zao gani?
na hapo unafuga huyo mdudu wasiokula jamaa zetu tu?au.kuna mifugo mingine. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…