Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama wakuu.
Tangu nianzishe hii thread nimepokea msg nyingi toka kwa wadau na wengine wametembelea shambani kwangu pia na wengine wameshaanza project zao.Nashukuru kwamba post hii imewa inspire wengi NA NIMEKUWA MSAADA KWA WENGI!
MASIKA HII IMEKUWA NZURI NA MAZAO YANAENDELEA VEMA KABISA.
NINA IMANI PICHA HIZI ZITAWAHAMISHA WENGI ZAIDI
Ili mpate feel ya shambani see attachment
Update:
Habari wadau!
Kilimo na ufugaji vinaendelea vema kabisa.
1. Du vitimoto wanaongezeka si mchezo. Kwa wanaohitaji mbegu karibu
2. Mavuno ya mahindi alizeti yalikuwa poa kabisa. Mifugo yangu sasa ina chakula cha kutosha
3. Miembe ndo kama hivyo.
Karibuni wenye nia ya kufanikiwa ujasiriamali huu
Mbegu zinapatikana sehemu nyingi tu inategemeana upo wapi.mi nilinunua SUA.kama upo dar wasiliana na amagro,wapo kota za urafiki pale.
Inachukua miaka 2-3 hadi kuanza kuzaa
inategemea na matunzo