sega la nyuki
Member
- Apr 23, 2022
- 7
- 2
Namkaribisha Sana kwenye tasnia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mnaendelea kutoa mafunzo?Naomba nikutoe hofu,
Gharama zetu za mafunzo ni rahisi kabisa.
Utapewa Mafunzo kwa vitendo, chakula, cheti, Kitabu kwa bei kati ya 50,000/= - 75,000/= kulingana na muda.
Kumbuka sisi ni Shirika lisilo la faida, hivyo lengo letu mi kusaidia jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii bado ipo?Pole sana kwa kuchelewa kujibu;
Mizinga yetu inakufikia hapo ulipo.
Aidha kama Tenda ni kubwa, tutaandaa vifaa vyote na kuja kuvionganishia hapo site kwako.
Kuna huduma ya Starter Kit kwa Wafugaji wapya;
Kwa huduma hii utalipia 3.5M.
Utapewa;
- Mizinga 10 ya kisasa iliyo na nyuki.
- Mavazi pair 2 yaliyo kamili kwanzia juu hadi chini.
- Vifaa vyote vya kulinia asali; brush, folk and hive tools.
- Bomba la moshi (Smoker)
- Tutakupatia Mtaalamu wa kuusimamia mradi wako kwa mwezi mmoja akikupatia mafunzo.
- Vifaa vya kuhifadhi asali
- Package za asali.
Na ushauri na saha.
Pia, tutakupatia soko la asali.
Sent using Jamii Forums mobile app