Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

Ukifikiria kuwekeza fikiria kuwekeza kwenye uchumi wa bluu.
karibu tufuge 🐟 kisasa na kwa tija
 
1.Vibali vya uendashaji wa shuguli za ukuzaji viumbe hai majini

I)Mhutasari wa kikao cha serikali ya kijiji au mtaa ambapo mradi utafanyika.

II)TAFIRI- Kufanya survey kwenye eneo ambapo vizimba vitawekwa, kupima kina cha maji, ubora wa maji, mkondo wa maji, ukubwa mawimbi n.k. galama ni Tsh. 2,700,000/=

III)NEMC-Kufanya Environmental Impact Assessment, galama yao n 4,200,000/=

IV)Bonde la Ziwa Victoria- Kutoa kibali cha matumizi ya maji

V)Barua ya Afsa uvuvi wa eneo husika

VI) Kibari kutoka Wizara ya mifugo na uvuvi idara ya ukuzaji viumbe hai majini.
Jambo ni jema sana ila huu mlolongo utamaliza capital yote!!!
 
20240801_105033.jpg
Tukutane shambani
 
Back
Top Bottom