Ufugaji samaki wa maji ya chumvi

Kukudume2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
1,659
Reaction score
734
Natamani kufuga samaki wa maji ya chumvi lkn sina uzowefu wala ujuzi wa namna ya kufuga ,Nina mpango wa kuanza na samaki ,kamba au mud crabes (Kaa tope).je naweza kupata utaalamu hapa auu ushauri au uzowefu hapa kwa mwenye nao.au hata maeneo ambayo kuna mtu anafuga unaweza kunielekeza karibuni .
 
wazo zuri ila watafute watalaam zaidi utapata tu ujuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…