Ufugaji vyura

Soko lake umelipata mkuu tujuzanane kwa undani
 
Huku maeneo yet uhitaji kufuga wapo wengi tu [emoji23][emoji23]
 
Nyakati hizi vitu vingi vitafugwa mpaka nzi....
 
Write your reply...soko lipo ? Ngoja nimalizie kufuatilia ufugaj wa mende kwanza ndo nije wa vyula.
 
Nahitaji msaada kuhusu namna ya ufugaji wa vyura
Mkuu unataka kuwafuga kwa ajili ya kuuza miguu yao kwa chakula au wana kazi nyingine ya ziada? Maana najua miguu yao ndiyo inaliwa ila wananuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…