BenMaestro
New Member
- Jul 14, 2019
- 1
- 0
Nahitaji msaada kuhusu namna ya ufugaji wa vyura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soko lipo Dodoma. Kuna aina maalumu ya vyura....lazima chura afikie uzito wa robo kilo au juu zaidiSoko lake umelipata mkuu tujuzanane kwa undani
Mbegu umeshaipata mkuu.. naomba unijuze🙏Soko lipo Dodoma. Kuna aina maalumu ya vyura....lazima chura afikie uzito wa robo kilo au juu zaidi
Shinyanga msimu wa mvua nenda ktk majaruba utapata vyura nusu kilo ukubwa wake.Huku maeneo yet uhitaji kufuga wapo wengi tu [emoji23][emoji23]
Mkuu unataka kuwafuga kwa ajili ya kuuza miguu yao kwa chakula au wana kazi nyingine ya ziada? Maana najua miguu yao ndiyo inaliwa ila wananuka.Nahitaji msaada kuhusu namna ya ufugaji wa vyura
Wanafugika?Shinyanga msimu wa mvua nenda ktk majaruba utapata vyura nusu kilo ukubwa wake.
Ungeuliza wanavunika? Wanakuwa sio was kufuga nu kuvuna.Majaruba hujaza vyura aisee.Tens wake wakubwa.Wanafugika?