Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

Kama alivyokujibu mdau salmin hapo juu, weka inlet na outlet itakusaidia sana na kukupunguzia usumbufu wa kubadilisha maji
 
Hongera sana kaka nimependa sana Mimi nimeanza kufuga bata bukini changamoto mpka sasa wana mwezi wa pili hawajaanza kutaga
 
Hongera sana kaka nimependa sana Mimi nimeanza kufuga bata bukini changamoto mpka sasa wana mwezi wa pili hawajaanza kutaga
Bata Bukini wana tega sana kutaga nakuomba uwe mvumilivu watataga tu kikubwa wawekee mazingira mazuri ya maji ya kuoga, majani kwaajili ya mlo, pumba uziweke virutubisho, na wana penda sana spinach kama utakuwa na uwezo wa kuwapatia walao kwa wiki mara 3.
 
Asante sana mkuu, kama mdau alivyokujuza kuwa mvumilivu tu lazima watataga. Fuata tu zile principles za kuwafuga. Lazima mayai yaje. Sio tu bukini hata hawa muscovy (bata wa kienyeji) nao kuna nyakati wanachelewa kutaga kama kuna miili yao imekosa virutubisho na pia kama kuna joto kali, ndio maana muheshimiwa hapo kakwambia lazima uwawekee maji ya kuoga, yana uhusiano mkubwa sana na bata kutaga mayai.
Hongera sana kaka nimependa sana Mimi nimeanza kufuga bata bukini changamoto mpka sasa wana mwezi wa pili hawajaanza kutaga
 
Naomba kuuliza wana JF , bata kuumwa goita husababishwa na nini ? Na tiba yake ni nin? Na inaweza pelekea madhara gan kwa bata??
 
Asante sana Nina bata 27 hadi sasa lkn vifaranga zaidi ya 60 vimekufa nazan sikuzingatia chanjo ngoja nianze kufatilia chanjo zao ili nipate matokeo bora zaidi
 
Asante sana mkuu kwa uzi huu, hakika nimejifunza mengi
 
Bataaaa. Bata bukini (geese) nimewafuga Sana mpaka halmashauri ikanipeleka nanenane nikatoe mafunzo huko. Ilikuwa miaka hiyo.
Aisee tunaomba nasisi utushirikishe na kutusaidia utaalamu kidogo maana wengi wetu wana pata changamoto ktk kuwafuga hao jamaa.
 
Aisee tunaomba nasisi utushirikishe na kutusaidia utaalamu kidogo maana wengi wetu wana pata changamoto ktk kuwafuga hao jamaa.
Kwa kweli bata bukini niliona wanafugika kirahisi Sana, Ila wanahitaji eneo. Nilikuwa nawalisha pumba+mashudu+dagaa+unga wa mifupa+chumvi kama tunavyochanganya chakula Cha kuku. Ila sijawahi kuwapa kulingana na umri; ile ya starter sijui grower sijui finisher, nilikuwa nawapa chakula Cha aina moja wote.
Bata Wanakula Sana majani, hivyo wapatie majani kila siku. Chinese, mchicha nk wanakula Sana. Dawa Mara chache Sana asee.

Wanataga mayai 6 tu kwa mwaka na wanataga mwezi wa sita. Ingawa kule Mbeya Kuna mfugaji nilikutana nae yeye aliniambia geese wake wanataga Mara tatu kwa mwaka na bata mmoja anaweza kutaga mayai 8.
 
Kwny kutaga inategemea na rangi zao
 
Nauza vifaranga vya indian runner mwny uhitaji anaweza nichek
 
Kwa mahitaj ya bata aina ya Muscovy kuanzia 10000 Mpk 28000, vifaranga indian vina week mbil 15000@
Mallard , black Swedish perkin wa miez 3 bei 30000@
Napatikana chanika kwa singa
Call 0746696878







 

Attachments

  • FF577113-32E7-43D0-AD07-22B627E3FB5F.MOV
    24.2 MB
  • CB865E9B-4B5A-4FFD-AF53-E39A9DEA5A82.MP4
    4.9 MB
  • 0D566615-2E0F-46F3-BA78-FF159D123E93.MOV
    24.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…