Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mkuu unao wangapi hadi muda huu?Moyo wangu una furaha kwenye hili kitu pekee nafuga ni bata nilikua najiuliza kuhusu soko nafarijika nategemea nifikishe bata 10,000 ndio nianze kuwauza
Hongera sanaa..Nina mpango wa kufuga bata huu Mwaka nadhani nitafanikiwa.Asante kwa wote mliojitokeza kuchangia katika huu uzi ambao niliuanzisha Mwaka 2020 kwa lengo la kusaidia wafugaji wenzangu wa bata ni matumaini yangu wengi tumefaidika kwa yote yaliyoandikwa humu, kwa wale ambao sijajibu maswali yao nitaendelea kupitia na kujibu, na kuna walioniandikia inbox nashukuru sana. Tuendelee kushirikiana wote katika ufugaji wa Ndege huyu mtamu. Namshukuru pia ndugu yangu Maxence Melo kwa kuuwekea uzi huu PIN kwa muda mrefu ili watu wajifunze.
RAIA MTATA.
😂😂😂🤣🤣😂😂😂 Tuuzi malum wa BATA
bata utaga na miezi 8Mbonà wangu wamezidisha sita, tatizo linaweza kuwa nini
Muongozo upi tena mkuu wkt thread imetendewa haki