Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Siku 30 mkuubata wa kienyeji wanaatamia/kulalia siku ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku 30 mkuubata wa kienyeji wanaatamia/kulalia siku ngapi?
Utapata Majibunaomba kufahamu banda zuri la bata linatakiwa liweje na gharama zake
Wanafaa kuchanganya na Bata wa kawaida?Jipatie vifaranga wa bata Bukini
Wanapatikana CHANIKA
Call 0783 29 11 07
Ndiooo unaweza changanyaWanafaa kuchanganya na Bata wa kawaida?
Number 04JE UNAJIULIZA WAPI UTAPATA VIFARANGAA BORA KWAJIRI YA KUFUGA AU KUUZAA?? [emoji2368][emoji2368] HILOO LISIKUSUMBUE JEFF AGRICULTURE FARM TUPO KWAJIRI YAKO
[emoji345]JEFF AGRICULTURE FARM ni wauzaji na wasambazaji wa vifarangaa wa aina zote kama
[emoji3514]CHOTARA
[emoji3514]BROILER
[emoji3514]LAYERS
[emoji3514]SILK
[emoji3514]BRAHAMA
[emoji345]EWE MFUGAJI FURSAA NDIOO HII JIPATIE VIFARANGAA BORA KUTOKA KWA JEFF AGRICULTURE FARM VYENYE AFYA BORAA NA WALITOKA KWA WAZAZI BORA
[emoji345]EPUKA HASARA NUNUA VIFARANGAA BORA UNUFAIKEE NA UFUGAJI WAKOO
1.CHOTARA SH 1500/=
2.BROILER SH 1800/=
3.LAYERS SH 2500/=
4.BRAHAMA SH 40000/=
5.SILK SH 30000/=
NB:JEFF AGRICULTURE FARM HATUNA DALALII 0744344949 /0658344949 [emoji3513][emoji3513][emoji3513]
MIKOANI TUNATUMA BILAA SHIDAA [emoji597][emoji597][emoji597][emoji597]
View attachment 2509150
Huo sasa ndio ufugaji wakutoka ktika uvungu wa Moyo wa mfugaji, Passion, Mungu akubariki sana.
Kwakweli hata mimi ninabaadhi ya bata Pekini nawafuga kwa mapenzi tu ya ufugaji inaleta Raha,Amani,Chakula kwa familia, kwa ufugaji wa mradi nawekeza zaidi kwenye Mbuzi,Mbwa,Bukuni,na bata hawa wakawaida ndio naanza sasa.
Mpaka Sasa Unao Bata Wangapi?Moyo wangu una furaha kwenye hili kitu pekee nafuga ni bata nilikua najiuliza kuhusu soko nafarijika nategemea nifikishe bata 10,000 ndio nianze kuwauza
Unataka Ya Kula Ama?Bukini mayai yake unauza bei gani
Haya mabata bado unayafugaBukini wawili wakubwa wa kike @ 120,000#... Wapo moshi , kiboriloni, Tanzania......karibuni
Penda kuwa unafanya FumigationHao Bata wa kienyeji hawajawahi kunivutia ! Mtaani tunawaita Bata maji !!!
Bata bukini wazuri , ninao wawili ndo nimeanza! Hawa nafuga Kama kivutio na mboga tu !
Bata mzinga nao wazuri pia soko lake Zuri, tatzo Ni wanakufa Sana.,,,hasa vifaranga, pia wanashambuliwa Sana na magonjwa !!! Niliwahi kufuga kipindi fulani , waliteketea karibia wote ! Ufugaji wangu sio mkubwa wa kibiashara !!!
Haya mabata bado unayafuga
Toka 2020 yako mawili tuh
Yana Changamoto Yalitaga Mayai Manne Yakaharibika IlaToka 2020 yako mawili tuh
Vifaranga unauza kiongozi nataka hata vya day oneYana Changamoto Yalitaga Mayai Manne Yakaharibika Ila
Nimeanza December 2021 ,2022 Yakataga Ndiyo Mayai Yakaharibika
Mwaka Huu Yametaga Yametamia Nadhani April Yanaweza Kuleta Vifaranga