Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

Nawafuga Kama kitoweo nitajipanga ili niwafuge kibiashara
Nalog off
 
jipatie mallard, Rouen na jumbo perkin
Wana mwezi mmoja
Bei 20000
Wapo chanika kwa singa
Call 0783291107

Attachments

  • IMG_7026.MOV
    12.2 MB
M
Mimi nahitaji hao Pekin. Napata je?
 
Nitakusaidia kukupatia mawasiliano mimi kwa sasa sina.
Naomba kufahamishwa kwa ufupi kuhusu bata aina ya jumbo pekin , nimesikia ni broiler ya bata , Vipi upatikanaji wa mbegu hapa tz na ufugaji wake ni kama wa bata wa kawaida?
 
Call 0746696878

Mbegu zipo , wanasema ni broiler kwa sababu ukiwalisha sana wanana wana nenepa kupita kias
 
Mbegu zipo , wanasema ni broiler kwa sababu ukiwalisha sana wanana wana nenepa kupita kias

Kwa hiyo hawana mambo ya F1 (kizazi cha kwanza) , wanafugika tuu kama Muscovy (bata maji) ?
 
Asante sana.

Naomba msaada wako.
Naomba kujua muda wa kumwachisha bata watoto ili aweze kutaga tena. Nina bata katotoa, sasa ni siku ya 23. nataka nimtoe mama yao nimpeleke shamba maana naona kama watoto wamekuwa wakubwa wa kujitegemea. Je inahauriwa watoto wawe peke yao baada ya siku ngapi? Naweza kuwatoa kwa mama yao sasa?
 
Mkuu Raia Mtata bata wangu katotoa Jana ,ila kuna baadhi ya vifaranga nawakuta wamelala Chali ,kila nikiwarudisha kwa mama yao baada ya muda nawakuta tena wametoka kwa mama na kulala Chali kwenye vimchanga maana nimeweka mchanga kiasi sehemu alipokua anatagia,je hii ikoje ikoje maana mi ndo nimeanza hivi ufugaji na Nina Nia ya kuwa na bata wengi sana.
 
mkuu unaweza kutoa elimu jinsi ya kutengeneza mabanda ya bata ya kisasa?kwasabu umezungumzia usafi kwenye ufugaji wake naamini hata banda lafaa kujengwa kisasa sio kama tulivyozoea kuejnga banda la bata uwani karibu na choo
 
haba
Habari,tafadhali naomba jibu la hilo swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…