Hamza chimpaga
Member
- Sep 25, 2018
- 12
- 8
anzia kujua sokolikwapi ndoufugeHabarin za kazi wana jamvi, nina mpango wa kuanza ufugaji wa bata mzinga ila sina taaluma juu ya hao bata naomba kupewa elimu kuhusu ufugaji, pia changamoto na upatkanaji wa masoko
Nawasilisha kwenu[emoji775]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok wazoefu Wa ufugaji na uuzaji Wa bata mzinga naomba mnijulishe kuhusu masoko?anzia kujua sokolikwapi ndoufuge
Mkuu soko lake dogo sana yaani asilimia 95 ya watanzania hawajawahi ila ,mimi leo nina 40 lakini sijawahi ona hata nyama yake ila huwa naona watu wnafuga chache (sijawahi ona zaidi ya 10 kwa mtu mmoja)Ok wazoefu Wa ufugaji na uuzaji Wa bata mzinga naomba mnijulishe kuhusu masoko?
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo jamaa was chini anafugia wapiMkuu soko lake dogo sana yaani asilimia 95 ya watanzania hawajawahi ila ,mimi leo nina 40 lakini sijawahi ona hata nyama yake ila huwa naona watu wnafuga chache (sijawahi ona zaidi ya 10 kwa mtu mmoja)
Mkuu bata mzinga mmoja mkubwa anauzwa 70,000 ,hivi bei hii wangapi wanaimudu? Navyofahamu mm kibongo hafugwi kibiashara bali ka pet au ishara ya utajiri au kujifurahisha tuu ,ila kama nilivyokushauri ni vyema ukatembelea mahotel makubwa ya kitalii nyama ya turkey inapendwa sana na wamarekani infact kule kuna mashamba makubwa kuliko hata ya kuku .View attachment 995437
Hili shamba liko Australia
Kwa hapa bongo nimekueleza bata mzinga si kitoweo maarufu ona hapa
View attachment 995440
Umeona mkuu yaani jamaa anafuga kupata tu kitoweo na watoto wakiambiwa mchango wa mlinzi auze mmoja ,ila nisikuvunje moyo nimekusisitiza katembelee mahotel makubwa
Mimi nilikua ninafuga ila sio kwa kiwango kikubwa mwaka huu mwanzoni nilisitisha huwa ninawachanganya na kuku sasa kukawa na jogoo mmoja msumbufu sana akawa anadisturb mayai yake pamoja na kupigana.Mkuu soko lake dogo sana yaani asilimia 95 ya watanzania hawajawahi ila ,mimi leo nina 40 lakini sijawahi ona hata nyama yake ila huwa naona watu wnafuga chache (sijawahi ona zaidi ya 10 kwa mtu mmoja)
Mkuu bata mzinga mmoja mkubwa anauzwa 70,000 ,hivi bei hii wangapi wanaimudu? Navyofahamu mm kibongo hafugwi kibiashara bali ka pet au ishara ya utajiri au kujifurahisha tuu ,ila kama nilivyokushauri ni vyema ukatembelea mahotel makubwa ya kitalii nyama ya turkey inapendwa sana na wamarekani infact kule kuna mashamba makubwa kuliko hata ya kuku .View attachment 995437
Hili shamba liko Australia
Kwa hapa bongo nimekueleza bata mzinga si kitoweo maarufu ona hapa
View attachment 995440
Umeona mkuu yaani jamaa anafuga kupata tu kitoweo na watoto wakiambiwa mchango wa mlinzi auze mmoja ,ila nisikuvunje moyo nimekusisitiza katembelee mahotel makubwa
Bukoba vijijinihuyo jamaa was chini anafugia wapi
yaani huyo mbongo
ninashauku ya kufugaBukoba vijijini