Mkuu soko lake dogo sana yaani asilimia 95 ya watanzania hawajawahi ila ,mimi leo nina 40 lakini sijawahi ona hata nyama yake ila huwa naona watu wnafuga chache (sijawahi ona zaidi ya 10 kwa mtu mmoja)
Mkuu bata mzinga mmoja mkubwa anauzwa 70,000 ,hivi bei hii wangapi wanaimudu? Navyofahamu mm kibongo hafugwi kibiashara bali ka pet au ishara ya utajiri au kujifurahisha tuu ,ila kama nilivyokushauri ni vyema ukatembelea mahotel makubwa ya kitalii nyama ya turkey inapendwa sana na wamarekani infact kule kuna mashamba makubwa kuliko hata ya kuku .
View attachment 995437
Hili shamba liko Australia
Kwa hapa bongo nimekueleza bata mzinga si kitoweo maarufu ona hapa
View attachment 995440
Umeona mkuu yaani jamaa anafuga kupata tu kitoweo na watoto wakiambiwa mchango wa mlinzi auze mmoja ,ila nisikuvunje moyo nimekusisitiza katembelee mahotel makubwa