Ufugaji wa bundi

mkuu ukianza tutaingia ubia. wanaweza tumika kwenye movie na vidddeo zza music pia tutawauza nje. harafu tutatanaza kuwa mayai yake yanaongeza nguvu za kiume.
 


Hilo la pet nina mashaka nalo, ila kwa biashara tu, utawapata viongozi wa CCM kwani hawa jamaa ni wabunifu sana katika kuteketeza jamii kwa kutumia nguvu za giza na haswa hawa ndege. Ikumbukwe kuna baadhi ya viongozi wa hiki Chama Cha Masela wanafuga bundi pale mjengoni (Dom).
 
Project yenu bila shaka mpaka leo mna mashamba na viota vingi sana vya bundi mpaka hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…