Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata return nzuri anza kufuga na fisi kabisa tujue umekuwa mjasiriamali! Maana anonymity clients wa kununua wapo!
mkuu ukianza tutaingia ubia. wanaweza tumika kwenye movie na vidddeo zza music pia tutawauza nje. harafu tutatanaza kuwa mayai yake yanaongeza nguvu za kiume.
Nataka kufuga hawa ndege kama pet na pia kibiashara. Kwa wale wandugu wenye uzoefu wa ufugaji wa hawa ndege wakuje hapa watoe nondoz zao. Hapa kuna fursa nzuri sana hususani biashara ya mayai. Msiniulize yananunuliwa na nani ila wateja wapo. Kikubwa ni kutangaza biashara