Ufugaji wa chura (Toad and Frog)

Ufugaji wa chura (Toad and Frog)

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
313
Reaction score
291
Habari wanajamvi.
Kama wana GT tunaweza kupata fursa adhimu za ufugaji vyura maji kutokana na soko lake kuwa ni kubwa.

kwa watu ambao washawah kwenda China nikizungumza chura pamoja na soko lake haitawashangaza maana ni chakula pendwa sana katika nchi hyo.
599205f322e3a5543fb2934fc23ea536.jpg

068c4e5bdc83a8349471ac688c66aaa7.jpg

Tanzania sasa kuna ongezeko kubwa la wachina na pia kuna migahawa mingi ya wachina bila shaka soko ni la uhakika hapa pamoja na ukitaka kuwasafirisha pia.

nashukuru sana kuna mdau ameanza ufugaji huu na pia amenitumia picha nikaona nashare na nyiny.

chura anaweza kutumika kama chakula,pia anatumika katika some experiments disections (kwa waliosoma biology A level).
2e4c189516fbddcdc71f5e4bf959a9f2.jpg

Nia kuleta uzi huu ni kuweza kusaidiana kimawazo jinsi ya kutoka katika hali hii pamoja na kuangalia bidhaa zisizo na mshindani pia zina soko la kudumu na la uhakika.

Nawasilisha wakuu
 
Ni vizuri, ila kama watu hawajaweza hata kufuga wamaki. Itakuwaje kwa vyura.
 
wazo lako zur ila chura wanauwezo wa kukaa nje ya maj pia hvy hawahitj bwawa kubwa tofauti na samaki
 
wadau hakuna kujua nan anajishughlisha na ufugaji huu ili nami nisome zaid kwake
 
Vp ninaweza kupata mawasiliano yako tuongee vzr kuhusu namna ya kupata mbegu na soko
 
Habari wanajamvi.
Kama wana GT tunaweza kupata fursa adhimu za ufugaji vyura maji kutokana na soko lake kuwa ni kubwa.

kwa watu ambao washawah kwenda China nikizungumza chura pamoja na soko lake haitawashangaza maana ni chakula pendwa sana katika nchi hyo.
599205f322e3a5543fb2934fc23ea536.jpg

068c4e5bdc83a8349471ac688c66aaa7.jpg

Tanzania sasa kuna ongezeko kubwa la wachina na pia kuna migahawa mingi ya wachina bila shaka soko ni la uhakika hapa pamoja na ukitaka kuwasafirisha pia.

nashukuru sana kuna mdau ameanza ufugaji huu na pia amenitumia picha nikaona nashare na nyiny.

chura anaweza kutumika kama chakula,pia anatumika katika some experiments disections (kwa waliosoma biology A level).
2e4c189516fbddcdc71f5e4bf959a9f2.jpg

Nia kuleta uzi huu ni kuweza kusaidiana kimawazo jinsi ya kutoka katika hali hii pamoja na kuangalia bidhaa zisizo na mshindani pia zina soko la kudumu na la uhakika.

Nawasilisha wakuu
China Hadi mavi Ni bidhaa pendwa, usitughiribu akili zetu
 
Back
Top Bottom