Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

mwalwisi

Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
45
Reaction score
22
Wadau,

Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie

1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura lipo wapi hasa?

2. Kuna huyu mtu anaitwa Bennet (anamiliki Mitiki blog), ana info nzuri sana za kilimo. Kuna yeyote anayeweza kuniunganisha nae? Nimejaribu sana kumtumia e mail kwa e mail yake niliyo ikuta katika blog yake but in vain. Kwa aliye na mawasiliano nae naomba aniunganishe nae tafadhali.

Reason ni kuwa ninahitaji kujiingiza katika kilimo, kwa mkulima ninayeanza nafikiri ni vizuri sana nikawa karibu na mtu kama yeye for guidance

Wasalaam

MICHANGO,USHAURI KUTOKA KWA WADAU



--------

-------
 
Swali alilokupa mdau hapo juu (Hivi Sungura wanaliwa ?), nadhani hii inakuonyesha kwa soko letu Tanzania kwamba hii sio very open...

Lakini kila kitu its about marketing na unaweza ukaangalia hata soko la nje, pili usisahau ngozi sababu ingawa hailipi sana ila ukipata mteja unaweza kuwazia watu watengeneze carpets..., Ukipata soko la nje ya nchi nadhani italipa zaidi, kumbuka kusearch information an do your homework angalia baadhi ya info:-
Raising rabbits for profit by Carrie Peterson Issue #106
http://cru.cahe.wsu.edu/CEPublications/eb0975/eb0975.pdf
http://www.ansci.cornell.edu/beef/docs/raising_mrabbits.pdf
 
Kenya kuna eneo lina wafugaji wengi sana wa sungura,nilisoma ktk the Daily Nation kuwa walikuwa ktk mkakati wa kujenga kiwanda cha nyama ya sungura.

Jaribu ku google ufugaji wa sungura in kenya,au wasiliana na wizara ya ufugaji ya Kenya.
 
Mkuu, mimi nina interest kubwa sana ya kufanya rabbit raising for meat.... na nimeshafuga sungura at a small scale..., niliwahi kufuatilia sana project ya sungura na nikapewa guidelines na FAO kuhusu funding programs under Tele food na wakanitumia vitabu viwili vinavyohusu rabbit raising ...

Tele food funding inaweza kutoa funds kama mtaweza ku form a gorup abayo itaweza kutoa fursa ya kukuza ufugaji wa sungura at the sme time kuzalisha sungura wa nyama kama mbadala wa chakula katika jamii

Nashauri tuwasiliane tuone tunaweza vipi tukaanzisha umoja wa ufugaji wa sungura na kushawishi umma kuhusu nyama ya sungura ili tupate soko kutoka kwa wananchi.
 

Kaka nashukuru sana ni PM nikupe contact zangu
 
Mkuu ushapata contact zake? jamaa napiga naye mzigo , yupo fiti sana kwenye mifugo na kilimo
 
Suppose unafungua Joint ya Nyama ya Sungura wa Kuchoma

I think utaweza kuchoma hata sungura 100 kila weekend

Aisee, nitakuja kila Weekend cz Nguruwe washachakachuliwa siku hizi
 
Suppose unafungua Joint ya Nyama ya Sungura wa Kuchoma

I think utaweza kuchoma hata sungura 100 kila weekend

Aisee, nitakuja kila Weekend cz Nguruwe washachakachuliwa siku hizi

in deed ..very well said.... it can be a very good marketing strategy.....hii ni kama product launch and promotion...nyama yake wakishaonja ... basi itakua kila siku hawakosi na kapilipili kwa mbaaali... ha haaa
 
Kuna jamaa pale kibaha maili moja anafuga vyura wa nyama. Nadhani ana soko zuri, huyu jamaa huenda akawa na masoko ya panya buku (samaki nchanga) na sungura. Wachina wengi dar wanakula sana na kufurahia nyama ya mbwa.

Lakini bei yao siyo nzuri sana kwani walinunua mbwa mmoja kwa shs elfu tano tu. Nadhani tuanze kula vyakula vya aina nyingi kwani hata jamii ya mafunza wa chooni wana protini nyingi kuliko vyakula vingine.
 

Kaa....
 
in deed ..very well said.... it can be a very good marketing strategy.....hii ni kama product launch and promotion...nyama yake wakishaonja ... basi itakua kila siku hawakosi na kapilipili kwa mbaaali... ha haaa

Mkuu umeniua na hii post yako!

Eti kapilipili kwa mbaaali? Hakika hawatakuwa na hamu na nyama nyingine mkuu! Nyama ya Sungura tamu sana na laini hujapata kuona. Niliwahi kuwalisha jamaa zangu ambao walikuwa wanapinga kama NGONGO anavyouliza, siku waliyokula walipiga mluzi wakifikri wanakula nyama ya bata! Nilipowaambia kuwa ni sungura hawakuamini.
 

Mkuu huyu anaeuliza kama sungura analiwa simwelewi? Kuhusu kufuga nahitaji couse nilisha fuga,nipotayari kuwasiliana na wewe,hii ni anwani yangu,chakihenry@gmail.com,pooa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…