Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Jamaa kaingia mitini,sijui kama hana sungura wake hamsini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha mkuu
Mnao nunua sungura msisahau na kununua mifuko ya cement kwa ajili ya kuzibia mashimo.
shimo 1 = mfuko 1 = sungura 1
Hii ilikuwa enzi zile za mababu zetu wakifuga sungura karne hii sungura anafugwa kwenye cage, mfano cage ya 3m. width, 3m length nd 2.5feet height unaweza weka sungura up to 10
Na nivizuri kufuga kama biashara na sio kama hobbie kama unataka ona faida yake. Mfano jama kila siku anachoma sungura wawili na kila kipande anauza 3000*8*2=48000/= kwa siku je kwa mwezi ni sh ngapi?????
Mkuu Ng'amba vipi soko la Sungura kwa hapa Tanzania hasa hasa Dar lipo vipi?naomba ujuzi wako kwenye hili kama hautojali
Idea nzuri sana mkuu.Hii ilikuwa enzi zile za mababu zetu wakifuga sungura karne hii sungura anafugwa kwenye cage, mfano cage ya 3m. width, 3m length nd 2.5feet height unaweza weka sungura up to 10
Na nivizuri kufuga kama biashara na sio kama hobbie kama unataka ona faida yake. Mfano jama kila siku anachoma sungura wawili na kila kipande anauza 3000*8*2=48000/= kwa siku je kwa mwezi ni sh ngapi?????
Kwa Dar sijui vizuri ila kwa hapa nilipo Uganda -Entebbe soko lipo saana na hata hotel nazo tayari zimeanza kuuza nyama ya sungura na hakuna,shida ya soko kwani wengi wanaipenda na kuisaka sana , so kama unawo wee anza na kuchinja mmoja,na mtengeneze vizuri ita majirani waonje halafu wape taalifa kuwa kama watahitaji nyama ya sungura inapatikana kwako utaona vile soko litakavyojitengeneza lenyewe
Sungura wa Nyama ufugaji wa Biashara: aina ya wanaofugwa inakua haraka hata kufikia kilo 6 ktk umri wa miezi 6. Nyama ni nyeupe na ina lishe nzuri na salama kwa afya. Sungura anaza vototo sita/nane. Mimba wiki 4.Chakula kikuu Majani.