Deo Benjamin
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 308
- 92
Unauzaje watoto wa sungura?
nikiwa Dar nitawapataje?
Mkuu Boss, usiingie kwenye ufugaji huu kichwa kichwa, jitahidi kupata information muhimu kwanza, nitakupa kwa ufupi kwa kuwa sina muda sasa:-
1. Angalia usije kuuziwa sungura wetu wa kienyeji hawa hata ufuge vipi hawafiki kilo 5/6
2. Sungura bora ambao ni rahisi kupatikana hapa afrika nashariki ni New Zealand White California White na EA White or Kenya White
3. Ukitaka kufanikiwa zaidi na ufugaji huu, tenga madume peke yake na majike peke yake na pindi jike anapokuwa kwenye heat muhamishie kwenye kiota cha dume na baada ya "mounting" after a day or two mrudishe kwenye kiota chake
4. Sungura wako akisha jifungua make sure after three weeks unamtenganisha na watoto wake na baada ya muda atarudi tena kwenye heat kwa uzao mwingine.Mambo ni mengi na muda sina kwa sasa.
Ufugaji mwema