Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana niliwatembelea Jamaa flan wa Kenya wana mradi wa Sungura na wako vizur na soko ni la uhakika!
Sungura wa kawaida akiwa hai wananunua kg 1=3000 tsh
kuna jamaa wanaitwa rabbit republic mkuu,founder ni mkenya lakini wana branch arusha ,pia hapa dar es salaam huwa wanakuja mara kwa mara hawa wana soko la sungura nje ya nchi so kama uko interested google rabbit republic utapata contact zao mkuu,nadhani utakuwa mwanzo mzuri.Wadau,
Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba munisaidie
1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura lipo wapi hasa?
2. Kuna huyu mtu anaitwa Bennet (anamiliki Mitiki blog), ana info nzuri sana za kilimo. Kuna yeyote anayeweza kuniunganisha nae? Nimejaribu sana kumtumia e mail kwa e mail yake niliyo ikuta katika blog yake but in vain. Kwa aliye na mawasiliano nae naomba aniunganishe nae tafadhali.
Reason ni kuwa ninahitaji kujiingiza katika kilimo, kwa mkulima ninayeanza nafikiri ni vizuri sana nikawa karibu na mtu kama yeye for guidance
Wasalaam
Mwalwisi
Kuna utapeli umeingia wa hao sungura na kware,utanunua kwa wingi mwisho wa siku utabaki nao mwenyew ukitaka kujua fursa za kilimo ni pm namba yako nikuunfanushe group la wajasiriamaliWadau,
Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba munisaidie
1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura lipo wapi hasa?
2. Kuna huyu mtu anaitwa Bennet (anamiliki Mitiki blog), ana info nzuri sana za kilimo. Kuna yeyote anayeweza kuniunganisha nae? Nimejaribu sana kumtumia e mail kwa e mail yake niliyo ikuta katika blog yake but in vain. Kwa aliye na mawasiliano nae naomba aniunganishe nae tafadhali.
Reason ni kuwa ninahitaji kujiingiza katika kilimo, kwa mkulima ninayeanza nafikiri ni vizuri sana nikawa karibu na mtu kama yeye for guidance
Wasalaam
Mwalwisi
hama utapeli pia sungura wanafaa kwa matumizi yako mwenyeweKuna utapeli umeingia wa hao sungura na kware,utanunua kwa wingi mwisho wa siku utabaki nao mwenyew ukitaka kujua fursa za kilimo ni pm namba yako nikuunfanushe group la wajasiriamali
Kuna jamaa ni wakenya mkuu wao wananunua Sungura wapo mikoa mbali mbali sijui kama uko wapoSoko ni tatizo mimi nilidhani kwa hapa Iringa tu, Mtoto wangu anafuga anao kama mia hivi lakini kaambiwa kuwa kuna mzungu ananunua kuanzia mia mbili sasa sijajua kama ni kweli au ni porojo za mtaani!!!
Mkuu hao Sungura ni wale wa Kienyeji au?Mkuu naomba unijuze...kwani sungura mmoja kwa kawaida baada ya kuchinjwa na kuandaliwa uwa anakuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi?
Soko ni tatizo mimi nilidhani kwa hapa Iringa tu, Mtoto wangu anafuga anao kama mia hivi lakini kaambiwa kuwa kuna mzungu ananunua kuanzia mia mbili sasa sijajua kama ni kweli au ni porojo za mtaani!!!