mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Sungura Sungura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi Niko nafanya mchakato nianze kufuga, nataraji kujenga banda la kisasa na nafikiri kuanza na sungura 25 kwanza ili nipate uzoefu then badae nitaongeza wengineTafadhari kama unataka kufuga usifuge kamwe kwa kufuata mkumbo utakuja jutia
ushaurikama unataka kufuga fuga kwa matumizi yako huku ukijitengenezea soko mwenyewe na hapo ndo utaona faida yake
Kwa kuanza ili upate uzoefu hao 25 ni wengi mno ugeanza na kama 6(dume moja na majike 5 au 10 dume 1(moja) na majike 9) na kila sungura awe na chumba chake ili kuweza kukontrol uzaajiMkuu Mimi Niko nafanya mchakato nianze kufuga, nataraji kujenga banda la kisasa na nafikiri kuanza na sungura 25 kwanza ili nipate uzoefu then badae nitaongeza wengine
Me naitaji kama 8 nipe bei j pil nijeKwa kuanza ili upate uzoefu hao 25 ni wengi mno ugeanza na kama 6(dume moja na majike 5 au 10 dume 1(moja) na majike 9) na kila sungura awe na chumba chake ili kuweza kukontrol uzaaji
Me naitaji kama 8 nipe bei j pil nijeKwa kuanza ili upate uzoefu hao 25 ni wengi mno ugeanza na kama 6(dume moja na majike 5 au 10 dume 1(moja) na majike 9) na kila sungura awe na chumba chake ili kuweza kukontrol uzaaji
Siku nyingine usifanye hivyo mkuu. Ada ya chakula mtu afahamu anakula nini. Kwa mfano, maishani mwangu sijawahi kula mbuzi. Siku niliyoweka mdomoni kwa bahati mbaya, nilipatwa na kinyaa kibaya kiasi nikafumukwa vipele vidogo vidogo mwili mzima. Niliishia kutobolewatobolewa na sindano mkono mzima kutest mzio ambao haukupatikana. Daktari aliniambia nimeugua hofu ya kitu ambacho hakipo. Na kweli, kesho yake mchana vipele viliishia na sikuwashwa tena...bado sitakula mbuzi na chochote kisicho mazoea yangu kwa kukurupuka.Mkuu umeniua na hii post yako!
Eti kapilipili kwa mbaaali? Hakika hawatakuwa na hamu na nyama nyingine mkuu! Nyama ya Sungura tamu sana na laini hujapata kuona. Niliwahi kuwalisha jamaa zangu ambao walikuwa wanapinga kama NGONGO anavyouliza, siku waliyokula walipiga mluzi wakifikri wanakula nyama ya bata! Nilipowaambia kuwa ni sungura hawakuamini.
Mkuu unaweza niuzia ata sita iviMacky msaada Mimi ninasungura zaidi ya 70 na nilinunua mbege Nairobi jike elfu 95 pamoja n kumsafilisha ikafika laki na kumi dume elfu 45.tatzo nipale unalixha sungura miez hata 6 hafiki kilo tano alafu chakul Chao bei ghali kilo 50 ni elfu sitin NA wanakul kwa cku tatu au NNE.wakifikia kuuzwa wale waliokuuzia mbegu wanakuj kuwanunua kilo moja n elfu 85 NA umelisha zaidi y miez mitano.Ukiuza hela yot inaenda kweny chakula.Changamoto nyingin ni kuwakata meno yakikua nayo n changamoto.Kama amezaa akasusa kunyonyesha nayo ni mtihani kwani utatakiwa kuwanywesha watoto na silinji bila sindano ukiwapa vibay vinakufa vyote.YANI SIONI FAIDA YA KUFUGA SUNGURA KIUPANDE WANGU
Mkuu..hiyo ni mbweni daslaaam au wapi?mwalwisi
jana nimetembelea sehemu moja inaitwa oceanic resort ipo eneo la mbweni, nimekuta wanauza nyama ya sungra, inakaangwa, bei ni sh. 30,000 kwa sungura mzima na sh. 15,000 kwa nusu sungura
nadhani huu unaweza kuwa mwanzo mzuri wa hili soko la sungura