pendoharri
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 508
- 306
Tatzo LA Tz soko c kubwa na nilakubahatisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maganda ya nazi( baada ya kukuna nazi) hii itasaidia kupunguza meno au wawekee miti mikavu ambayo wewe mwenyewe umeikausha bila kupulizia dawa ambayo itawazuru izi wakitafuna automatic itasaidia kupuinguza menoMacky msaada Mimi ninasungura zaidi ya 70 na nilinunua mbege Nairobi jike elfu 95 pamoja n kumsafilisha ikafika laki na kumi dume elfu 45.tatzo nipale unalixha sungura miez hata 6 hafiki kilo tano alafu chakul Chao bei ghali kilo 50 ni elfu sitin NA wanakul kwa cku tatu au NNE.wakifikia kuuzwa wale waliokuuzia mbegu wanakuj kuwanunua kilo moja n elfu 85 NA umelisha zaidi y miez mitano.Ukiuza hela yot inaenda kweny chakula.Changamoto nyingin ni kuwakata meno yakikua nayo n changamoto.Kama amezaa akasusa kunyonyesha nayo ni mtihani kwani utatakiwa kuwanywesha watoto na silinji bila sindano ukiwapa vibay vinakufa vyote.YANI SIONI FAIDA YA KUFUGA SUNGURA KIUPANDE WANGU
Wadau,
Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie
1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura lipo wapi hasa?
2. Kuna huyu mtu anaitwa Bennet (anamiliki Mitiki blog), ana info nzuri sana za kilimo. Kuna yeyote anayeweza kuniunganisha nae? Nimejaribu sana kumtumia e mail kwa e mail yake niliyo ikuta katika blog yake but in vain. Kwa aliye na mawasiliano nae naomba aniunganishe nae tafadhali.
Reason ni kuwa ninahitaji kujiingiza katika kilimo, kwa mkulima ninayeanza nafikiri ni vizuri sana nikawa karibu na mtu kama yeye for guidance
Wasalaam
MICHANGO,USHAURI KUTOKA KWA WADAU
--------
-------
Aina za Sungura
Mfugaji anahitaji kutambua sungura ambao atatumia kama mbegu kwa kuzalisha wengine wa hali ya juu.
Ni vyema kutenga sungura wangali wadogo wakiwa miezi minne kwa wa kike na miezi sita kwa sungura wa kiume yaani kabla hawajaanza kuzaa.
Baada ya kupandisha kwa mara ya kwanza na wanapopata mimba sungura hao wa kike ni vyema kuwatenga na kuwaweka katika chumba chao maalum ili kuanzisha kizazi kingine.
Kuna aina mbali mbali wa sungura lakini wanagawanywa mara mbili kwa matumizi.
Moja ni kwa matumizi ya ngozi yake kwa kutengeza kofia, mifuko, na mishipi
Pili kuna aina ya sungura ambao hufugwa kwa kuzalisha nyama. Mfano wa aina ya sungura wa ngozi ni “Angora” ambaye manyoa yake ni marefu. Na kwa sungura wanaofugwa kwa nyama ni aina ya sungura ambao hukua haraka, uzito wa sungura wa nyama ni kutoka kilo mbili hadi kilo tano. mfano Califonia White na Newzealand White, Chinchila Flemish Giant, Flemish Fender.
Faida za kufuga sungura
Kulingana na wataalam, sungura ni mnyama rahisi wa kufuga hana gharama kubwa. Sungura akitunzwa vyema inavyostahili haugui kwa urahisi na pia lishe yake ni rahisi kupatikana.
Chakula cha sungura ni kama nyasi, mamboga kama vile sukuma wiki, spinarch, karoti, na pia unaweza kununua chakula halisi cha sungura kutoka maduka ya vifaa vya wanyama.
Wataalam wanashauri mfugaji akaushe chakula cha sungura ili asikojoe ovyo na pia kukinga magojwa ya tumbo.
Nyama ya sungura ni tamu na wale ambao wameila huilinganisha na nyama ya kuku. Kulinagana na wataalam ni nyama nyeupe ambayo haina mafuta ya cholestrol na hiyvo wataalam wa lishe bora huhimiza matumizi ya nyama ya sungura kwani ni bora kwa afya.
Ufugaji wa sungura ni kitengo kidogo cha ustawi wa mifugo kwa minajili ya kuongeza uzalishaji wa nyama ya sungura, na pia kwa mapato. Kama mnyama yeyote sungura anahitaji utunzaji mwema ili waweze kuzalisha kwa wingi.
Pia anahitaji kujengewa chumba maalum na kuangaliwa kila siku na kuhakikisha usafi wa vyumba hivi. Na kama watoto wa binadamu pia sungura wanahitaji kupewa chakula kisafi cha hali ya juu kilicho na madini ya protini na kalsham na pia kupewa maji masafi.
NAMBA ZANGU NI 0689-913046.NAHITAJI SUNGURA MBEGU NZURI YA KISASA. CALIFONIA WHITE/ NEWZEALANDwadau nahitaj sungura majike 5 na dume 1. nipo ilala dsm 0686913046
Kwanini unahitaji wa kisasa?Naomba mwenye mbegu ya kisasa ya sungura tuwasiliane 0715287233
Ndugu yangu kama hujui basi ukweli ni kwamba nyama ya sungura ni SUPER SUB ya mbuzi katolikiHivi sungura wanaliwa ?
Tembelea wamisionary walio karribu na weweJman samahan mm npo geita ndo naanza kufuga sungura kikubwa nahitaji sungura wa kisasa mwenye kuwa nao hasa kanda ya ziwa tuwasiliane kwa no 0762377375
Haya maswali yako kaulize kwa viongozi wako wa dini sisi wengine hayatuhusu,hapa tunaangalia fursa.Arusha.
Mkuu mimi nawaona sungura kama paka au panya siwezi kula hivi sungura ana kucha au kwato, ana cheua ?
Fursa mpango mzimaHaya maswali yako kaulize kwa viongozi wako wa dini sisi wengine hayatuhusu,hapa tunaangalia fursa.
Mkuu samahani naomba kujua bei ya sunguraKaribu kwa wote mnaoitaji kujifunza na kupata mbegu za sungura 0763370175
Jiunge na shirika letu la I charity Global vision tutakusaidia ufugaji bora wa SunguraTembelea wamisionary walio karribu na wewe
huwa wako nao