mkuu mbuzi hanyi maji! wengine wanawapa maji ila wengine hawawapi maji japo nao husikia kiu,
sungura nao hawanyi maji au tuseme huwa hatuwapi ila ukimpa anakunywa maana nae huwa anakiu sema kiu kwake haina madhara makubwa ka kwa wanyama wakubwa,
Mwisho wa yote kila mnyama anakunywa maje sema wengine wanauwezo mkubwa wa kuvumilia kiu zaid hasa tukianza walinganisha,