[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hii thread ndiyo kama ile ya SUNGURA KWA 50,000/- - 65,000/-, hapa wajinga ndiyo waliwao watanunua na kuwafaidisha matapeli, kwani kuku wa laki 2 na wa alfu 20 tofauti iko wapi hasa?! Ladha, ukubwa?!
UTAPELI uliokubuhu kutokana na hali mbaya ya uchumi tuliyonayo, UJINGA KABISA HUU...
Ni mawazo yako tu upo sahihi.Sikiliza. Wewe umeshaninua. Sasa hivi na Wewe unatafuta wa kumuuzia. Kama utampata mwenye mawazo uliyokuwa nayo wakati ule unanunua, unaweza kuuza. Ila ktk hali halisi hiyo siyo biashara endelevu. Ni kubahatisha watu wasiyojielewa. Ninunie kuku shs 200,000/= kwa sababu gani hasa. Nyama nzuri, mapambo au bondia wa maonyesho ya mapambano? Mimi siwaelewi. Naona kama mlipoteza hela zenu kwa maneno ya kuambiwa. Samahani lakini huenda nimetumia lugha kali kuonyesha hisia yangu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndugu yangu hivi unatumia jina gani jf coz hiyo accont ya nyamima ni yangu na naona km mim naitumia na naona alert za commeny unacomment inatokea nyamima pia ina maana tunatumia account moja.. ?au unatumia account yangu naomba log out kwanza then jaribu kuingia tena mana ninachoona huku ni km unatumia account yangu hata sielew vzr nin tatzo.nahisi hao kuku ni kwa ajili ya ufahari maana kama kuku huwez hata muuzia jirani yako kwa ajili ya kitoweo ni wa nini ,haya twende upande wa nyama ina vitu gani vinayoifanya nyama yake iwe special mpaka huyo kuku awe laki 2,Nina uhakika nyama yake INA ladha ya kuku wa kawaida japo utajisifu nimekula kuchi bwana ,naomba unielimishe basi au ni kwa ajili ya soko LA nje
Account yko ina jina gani ndugu yangu?nahisi hao kuku ni kwa ajili ya ufahari maana kama kuku huwez hata muuzia jirani yako kwa ajili ya kitoweo ni wa nini ,haya twende upande wa nyama ina vitu gani vinayoifanya nyama yake iwe special mpaka huyo kuku awe laki 2,Nina uhakika nyama yake INA ladha ya kuku wa kawaida japo utajisifu nimekula kuchi bwana ,naomba unielimishe basi au ni kwa ajili ya soko LA nje
Yah unaweza waweka getini kama mbwa..Jamani mtueleweshe vema. Wanapiga sana kwa maana wanatumika kwenye ulinzi au?Je wanaliwa?
Unapatikana wapi weka picha niwaoneWanapatikana Singida na Tabora minawauza elfu 15 ila uzito si chini ya kilo3
Duh, kamata mwizi men!!Ndugu yangu hivi unatumia jina gani jf coz hiyo accont ya nyamima ni yangu na naona km mim naitumia na naona alert za commeny unacomment inatokea nyamima pia ina maana tunatumia account moja.. ?au unatumia account yangu naomba log out kwanza then jaribu kuingia tena mana ninachoona huku ni km unatumia account yangu hata sielew vzr nin tatzo.
Hakujibu yan mim account yangu naon na yey anapostia nilishtuka sanaDuh, kamata mwizi men!!
Ukipata jibu utujulishe, maana hii ndiyo naiona kwa mara ya kwanza hapa JF!
Asa sikujua tatzo ila niliambiwa bibadik password uwenda itasaidia ndo nimefanya hivyo.Hakujibu yan mim account yangu naon na yey anapostia nilishtuka sana
Bado ni tatizo kubwa, mistaken identity is risky sometime..
Asa sikujua tatzo ila niliambiwa bibadik password uwenda itasaidia ndo nimefanya hivyo.