Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nashukuru wote kwa ushauri na maswali.
  • Kuna mdau ameniuliza kama mimi ni mhanga wa chama tawala. Ni kweli siku nyingi sana nimejivua gamba and am alergic with dirty politics, nimefocus kwenye maisha yangu binafsi.
  • Kuhusu nilipo, mimi sipo Dar, kwa wale wa Dar mtanisamehe. Niko Iringa
  • Nimeshajifunza kitu hapa, nimeamua kubadili badala ya kutumia randa nimeamua kuweka pumba za mpunga.
  • Chotara ni wazuri kwa maana watakua haraka, lakini wanastahimili magonjwa kuliko wa kisasa, na wanapendwa sana sokoni. Kibiashara wanalipa.
 

Asante sana kwa somo mkuu
 
Habari wakuu,

Nina maswali yafuatayo kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji wanaofugia Dar;

1. Soko la kuku wa kienyeji na mayai ya kienyeji jijini Dar lipo kubwa?

2. Endapo nikaamua kuanza kufuga na vifaranga mia tano, kwa uzoefu wako unadhani nitapata wateja wa kununua kuku na wateja wa kununua mayai? Haitafika wakati nikabakia na mayai yangu pamoja na kuku wangu kwa kukosa soko? au nikauza kwa hasara?

Nawashukuru sana.
 
Kjamani naomba msaada kuku wangu alijichanganya akaingia banda LA bata amedonolewa ana vidonda kichwani nimfanyeje
 
Kwa wanaohitaji majogoo safi ya kienyeji kwa ajili ya kula au kufuga nicheki inbox.. Niko dsm
 
Wakuu nina tatizo kubwa katika kuku wangu,Wadogo kwa wakubwa kwani wana MINYOO.NINI TIBA YAKE??
 
Wakuu msaada wa haraka unaitajika ndg zangu,KUKU WANATEKETEA KILA SIKU.MINYOO INANISHINDA
 
Najua na nafahamu kwamba kuku.wa.kienyeji ikiwa kweli utadhamiria unaweza kufanukiw sana si kimaisha tu bali hata kiuchumi kwa ujumla ila mm ninachoka hebu nipatieni muoongozo wa kina (proposal ) nataka kuomba pesa nataka kuanza na kama kuku 500 hvi naomba muongozo.ili nitize.zamira.yangu ahsante
 
Wadau wenye uzoefu msaidieni delako atapata hasara. Ndugu delako nakushauri uende duka la kilimo au mtafte daktari wa mifugo.
 
Last edited by a moderator:
Naam pana amani hapa, namalizia ujenzi wa banda la kuku, nataka niweke kuku 2500 wa kienyeji, nimeendelea kujifunza hapa, nimefurahi sana. mambo ya soko naaminii yapo tu, ni wewe mwenyewe kujifanyia marketing kama vile unavyotongoza!!!

Naanzisha na bustani mbali mbali za mboga na matunda,, nitakuja kuwapa feedback MUNGU akipenda.
 

tazama wazo jema namna hii?:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…