Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Hlw Habari wakuu,

Naitwa khalfan ni mkaz wa Mkoa wa simiyu mjini bariadi,
Nawaza kuanza biashara ya kukusanya kuku vijijin na kuwatafutia soko mwanza kwenye mahotel makubwa.

Shida connection ndio sijui naipataje Ila nishaandaa mtaji wangu wa shl laki 5, nawaza nikipata tu connection niende bush kulangua kuku hao then niwapelek moja kwa mmoja sehemu ambapo tawauziia basi naombeni msaada wenu wa connection ni hayo tu.

SHUKRN
 
PORTABLE ELECTRONIC SCALE

[emoji2788]Kwenye kila biashara kunaitaji hesabu hivyo itakupa ugum Sana kujua maendeleo Kama hautakua na vitendeaa kazi vya kisasa kwenye mradi wako wa ufugaji

[emoji2788]Karibu JEFF AGRICULTURE FARM ujipatie mizani ya kupima uzito kuanzia (0-50kg) kwa Bei ya OFAA kabisaa [emoji91][emoji91][emoji91] ipo faida kubwa Sana ya Kutumia mizani kupima vitu mbali mbali

FAIDA YA KUTUMIA MIZANI KATIKA UFUGAJI

[emoji3514]Mzani huu unaweza kutumia kupimia kuku wako uzito na kujua maendeleo ya ukuaji wao
[emoji3514]Unaweza Kutumia kupimia chakula na kujua kuku wako wanatumia chakula Cha kiasi gani kwa siku
[emoji3514]Unaweza kupimia uzito wa vitu vingi mbali mbali na kukurahisishia wewe mfugaji kupanga mikakati yako

Mzani hii huu ni Digital na utaupata kwa Bei ya OFAA kabisaa [emoji91][emoji91][emoji91] ya shilingi 15000/=TU

Wakazi wa DAR ES SALAAM unaletewa mpaka kwako ndio unalipia mzigo wako na unachangia pesa kidogo tuu ya usafiri

0744344949/0658344949[emoji3513][emoji3513] DSM LILIAN KIBO

MIKOANI TUNATUMA PIA [emoji597][emoji597][emoji597]

JEFF AGRICULTURE FARM NI UKOMBOZI WA FIKRA KWA WAFUGAJII [emoji1732][emoji1732][emoji1732]View attachment 2570436View attachment 2570437
images%20(43).jpg
 
Wakuu Hamjamboni.
Nimeomba msaada Kwa tatizo la vifaranga kudhoofu miguu.Chakula Kiko fresh. Wapi ninakwama? Wana umri WA wki 6 Sasa.Msaada Tafadhari.
 
Hlw Habari wakuu,

Naitwa khalfan ni mkaz wa Mkoa wa simiyu mjini bariadi,
Nawaza kuanza biashara ya kukusanya kuku vijijin na kuwatafutia soko mwanza kwenye mahotel makubwa.

Shida connection ndio sijui naipataje Ila nishaandaa mtaji wangu wa shl laki 5, nawaza nikipata tu connection niende bush kulangua kuku hao then niwapelek moja kwa mmoja sehemu ambapo tawauziia basi naombeni msaada wenu wa connection ni hayo tu.

SHUKRN
Good ushapata connection
 
Katafute mkuu. Wewe andika Barua ya EOI utume, weka na kaprofile kadogo kama supllier. Uwe na capacity inayoeleweka tu... Kwamba una uwezo wa kudeliver kuku 500 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom