Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Njia mbadala ya chakula cha kuwalisha kuku wakienyeji kama mtu anatumia tupeane ujuzi maana gharama ni kubwa mpaka wakiingia sokoni.
 
Wakuu msaada tutani,

Kuna mtu anataka kuniuzia hawa kuku akidai ni kuku wa kienyeji,

Nisaidieni kama wanavyoonekana hapo hi kuku wa kienyeji kweli ama ni wa kisasa ?

20220414_182009.jpg
 
Wakuu msaada tutani,

Kuna mtu anataka kuniuzia hawa kuku akidai ni kuku wa kienyeji,

Nisaidieni kama wanavyoonekana hapo hi kuku wa kienyeji kweli ama ni wa kisasa ?

View attachment 2205154
Kwa kutizama miguu wembamba na rangi yake kuku kienyeji mara nyingi wanakuwa na miguu njano au nyeusi mpauko au kama kijivu vile.

Naweza kusema kienyeji hao
 
Lima merry gold haya majani kuku wanapenda sana kuyala, wapikie ugali na pumba pia wape.
Nimeingia google kuona hiyo merry gold ni majani gani naona maua tu.

Hebu ndugu Sky Eclat fafanua kidogo na kapicha. Itapendeza ukisema yanalimwaje mbegu pia inapatikana wapi.

Asante
 
Ni maua na ndiyo yanayosaidia kiini cha yai kuwa na rangi ya gold

1651294114590.png
 
Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
 
Kwa Morogoro kuna Jamaa wapo eneo la Nanenane au Kola sikumbuki wanafanya hii business. Ngoja niulizie namba yao kisha nakutumia. Sina uzoefu nao binafsi nimeambiwa na jamaa yangu yabidi ukakague na kujiridhisha kwa uhakika wa kazi yako.

Sawa kaka ukipata namba zao nitumie
 
Kwa Morogoro kuna Jamaa wapo eneo la Nanenane au Kola sikumbuki wanafanya hii business. Ngoja niulizie namba yao kisha nakutumia. Sina uzoefu nao binafsi nimeambiwa na jamaa yangu yabidi ukakague na kujiridhisha kwa uhakika wa kazi yako.
Poa poa mkuu
 
Back
Top Bottom