Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake


Thanks,,,,ubarikiwe na MUNGU
 
Mada iko poa sana, cha msingi ni kufanya mchanganuo kiuhakika na si kumbeza mleta mada kwani hata angelitafuna kila kitu hapa bado aliye tayari kufuga hao kuku angetakiwa pia kufanya kazi kuyaweka yalisemwa na mtoa mada katika uhalisia. Kwa kuanza na kidogo kutakuweka mfugaji katika umahili zaidi wa kuwamdu kuku wako kadri watakavyoongezeka!!!!!
 
Vifaranga wangu wa kienyeji wanatokwa na vidonda kichwani, midomoni na baadhi ya sehemu za mwili wao pia wanapoteza hamu ya kula, ni nini tatizo na solution yake ni ipi msaada wenu wakuu
 
Nmeipenda hii mada..
lla nashauri sana badala ya mtu kuwaza kuku 2000 embu waza kuwa na kuku maximum 200, medium 150 na minimum 100. Hapo utaweza wapa lishe nzuri na utakuta kuku mmoja unauza kwa bei ya kuku wawili au hata watatu. Yaan kuku anakula hadi inakuwa shida kutembea ama akitembea unasikia kishindo, kilo zinakuwa hata 5 kuja juu.
Hapo utajikuta unauza kwa bei ya kuringa maana lazma watu watakuja kwa sababu ya ubora na mayai kusanya na uuze kwa watu potential wenye uwezo wa kukulipa vizuri. Usifanye mradi uwe milionea ndani ya mda mfupi ila fanya mradi ukulipe starting cost,ukupe hela za kuuendeshea,ukupe hela ya kujikimu na hela ya kuekeza ktk sekta nyingine zaidi. Utajikuta baada ya mda una miradi mingi unayoimudu 100% na faida nzuri sana huku ukipata reputation nzuri ktk miradi wako na hata ukajikuta unapata kuwa study case ya namna unavyoweza kuwa na stock bora.

Raha ya miradi ya ufugaji ni uifanye kwa uangalizi mzuri na ukiwa na stock unayoweza imudu na kuitunza vizuri.
 

Ninakuomba tuwasiliane na mimi kwa no.0713 689665, unipe maelekezo nitakupataje ili ninunue kuku wa mwaka mpya
 
Anachosema Gazeti ni sahihi 100% kuna Dadangu kaanza kuwafuga mwaka juzi eeh bhana eeeh.....leo anaogelea mamilioni i wish nifuate nyayo zake aseeee...
 
Kuku hawahitaji eneo kubwa kiasi hicho. nina Kuku 30.
wanalala kwenye chumba cha ukubwa wa 2m x 1.5m
ndani ya chumba hicho kuna sehemu ya kutagia kuku wane kwa wakati mmoja.
sehemu wanayotumia mchana inaukubwa wa 2m x 8m
banda la kulala ni ndogo kwa sababu kuku wanapenda kulala juu.
hivyo nimeweka chanja za mbao
 
Mkuu tuwasiliane 0714001400
 
Naomba tuwasiliane mkuu 0714001400
 
Naomba kujua makadirio ya gharama za kuandaa banda la kuku wa kienyeji ambao watakua wanafugwa nusu huria kwa projection ya kuku 5000
 
thnks sana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…