Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

NAKUJA
 
habari mkuu binafsi niko interested na ufugaji wa kuku wa kienyeji je unafanyia wapi ufugaji wako?
 
nasikia kinadharia ufugaji huu ni mrahisi ila kivitendo ni pasua kichwa balaa
 
Mi nilianza na kuku kumi na tano mwaka jana. sasa namushukuru Mungu ninazalisha vifarangavelfu moja kwa mwezi asante sana ndugu Gazeti kwa kunihamasisha kupitia bandiko lako!
 
Mimi ni mjasiliamali mdogo, nimejaribu kufuga kisasa kuku wa kienyeji yaani kuwafungia ndani ya banda muda wote na kuwalisha chakula cha dukani pia huwapatia chanjo ya gombolo na new castle lakini matokeo yake wengi hasa vifaranga hufa na wale wakubwa hudhoofika kiasi huamua kuwafungulia, anayejua njia sahihi naomba aniongoze.
 
Mimi kuku wangu wore wamekufa na ugonjwa he nitumie DAWA gani
 
Uko Mkoa Gani ...
 
Nakushauri kuku wa kienyeji uwafuge nusu huria. Kuwafuga kisasa kabisa sio njia nzuri. Asubuhi hadi saa sita waache ndani ya banda wawekee Maji na chakula. SAA saba hadi jioni waruhusu waokote wadudu na wale manyasi na waote jua la mchana. Njia hii ni nzuri sana, hutojuta kufuga kuku wa kienyeji.
 
NASHUKURU MKUU KWA USHAURI WAKO NA WOTE WALIONIJIBU.NITAYAFANYIA KAZI YOTE MLIYO NISHAURI
 
Chamcingi ni kugundua nn kimewauwa ili uchukue hatua ya kuwakinga batch nyingine!ungempa mtaalamu afanye pm
 
kuandika hivi ni rahisi lakini practical ni ngumu sana,nimenunua vifaranga wazo 100 nimewapa chanjo zote na vyakula vya dukani lakini mpaka leo wamebaki kumi tu.
Ahsante kwa ushauri wako. Umetoa makadrio ya juu sana ambayo katika halisi yasiweze kuwa applicable. I stand 2b corrected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…