Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

NASHUKURU MKUU KWA USHAURI WAKO NA WOTE WALIONIJIBU.NITAYAFANYIA KAZI YOTE MLIYO NISHAURI
Hakikisha banda la kuku ni safi na kavu muda wote. Banda likiwa chafu huwa kuna viroboto wanaoshambulia sana kuku wa kienyeji. Mimi nilianza na kuku jike moja na dume moja, namshukuru Mungu muda huu Nina kuku 25 wote jumla. Nafuga nusu huria.
 
Hakikisha banda la kuku ni safi na kavu muda wote. Banda likiwa chafu huwa kuna viroboto wanaoshambulia sana kuku wa kienyeji. Mimi nilianza na kuku jike moja na dume moja, namshukuru Mungu muda huu Nina kuku 25 wote jumla. Nafuga nusu huria.
asnte ndugu kwa ushauri
 
Gazeti umetoa wazo na umejaribu kilifafanua kwa miaka mingi, ila kuweka kumbukumbu sawa nikurekebishe mahali kwanza uwiano wa matetea wanne kwa jogoo moja 4:1 ni mkubwa sana uwiano sahihi ni 20:1 jogoo mmoja ana uwezo wa kuhudumia majike 20 bila kupungukiwa kitu. Pili ni swala la umri wa kuku jike wa kienyeji mpaka kufikia kutaga ni miezi nane na zaidi, kuku wa kisasa layers ni kuanzia miezi minne mpaka sita.

Hivyo basi ukitaka mavuno mazuri unaweza kuwa na incubator au ukatenga majike kadhaa kuwa walaliaji maana jike anaelishwa vizuri hutaga mayai 16-30 unaweza kuwatenga watagaji na walaliaji kwa kuwanyang'anya vifanga pindi wanapo angua na wale watagaji kuwapunguzia mayai kila yanapofika manne Unatoa mojaa.
 
Kawapime UTI mkuu..... hyo n dalili mbaya kwa hao kuku
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako umenisaidia sana japo nilikutana na changamoto za wauzaji wa dawa za mifugo wengi wao kutoujua huu ugonjwa kati ya maduka mengi nilozunguka ni wauzaji wawili tu ndo walikuwa na uelewa zidi ya ugonjwa huu,
 
Kwa wale wanaohitaji mchanganuo wa mahesabu (Business Plan) kwa ajili ya kilimo au kwa shughuli nyingine yoyote ile basi tuwasiliane. Natengeneza michanganuo ya uhakika itakayokuhakikishia upatikanaji wa mikopo kutoka kwenye mabenki ili mradi uweze kutimiza masharti mengine yanayohitajika na benki husika zaidi ya mchanganuo wa mahesabu kwa bei nafuu ya 1% ya mtaji unaohitajika kwa ajili ya biashara yako na maongezi yapo kama 1% inakuwa ni kubwa.


Mara baada ya kupata data husika za biashara yako, haitazidi wiki mbili kupata business plan yako tofauti na watengenezaji wengi wengine ambao wanachukua mda mrefu lakini pia output zao ni za kiwango cha chini.


Nina uzoefu wa miaka 12 ndani ya sekta ya benki kama mtaalam wa maswala ya uhasibu katika masuala ya utengenezaji wa business plans.


Nimejikita kwenye shughuli hizi tangu October 2010 chini ya Sole Proprietership yangu inayoitwa Biznocrats Consulting Enterprise na nimeshatengeneza business plans nyingi katika maeneo tofauti na hakuna hata business plan moja iliyorudishwa na benki kwa kuwa chini ya kiwango.


Ofisi yangu ipo Makumbusho Bus Terminal & Shopping Complex, Block A, Ghorofa ya kwanza, chumba No. FF-04.


Tuwasiliane kwa namba yoyote kati ya hizi 0658 au 0772 977330
 
Hao vifaranga wanapatikana wapi mkuu?? mimi nahitaji vifaranga 200, na nimefocus zaidi kwenye uzalishaji mayai...naomba msaada wa kunipa connection.
 
Ubarikiwe ndugu haya ndo maendeleo tusaidiane sisi kwa sisi sio kila kitu serikali.
 
Hao vifaranga wanapatikana wapi mkuu?? mimi nahitaji vifaranga 200, na nimefocus zaidi kwenye uzalishaji mayai...naomba msaada wa kunipa connection.
Mkuu vifaranga wanauzwa kila sehemu hapa mjini, ukienda pale Tazara wanauza kila Jumatatu na Alhamis ila kwa oreder maalum, kuna mawakala wako pale karibu na Mabibo Hostel, kuna wengine wako Njombe wale wanakuletea pia, kuna wengine wako magomeni, hi yote ni Dar kwa mkoani sifahamu kwa kweli
 
Thanks mkuu, nitawatafuta hao mawakala wa Mabibo Hostel.
 
Nimependa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…