Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

tusiogope changamoto tujiajiri,changamoto zikija 2siache ujasiriamal bal 2tafte njia ya kuitatua,asante mtoa mada
 
Naomba ufafanuzi juu ya ufugaji wa kukua wa kienyeji kisasa zaidi na masoko yake kwenye kuuza kuku pamoja na mayai.
 
Mkuu mbegubora weka vitu jukwaani kwa faida ya wengi. Hata mimi nataka kujua kuhusu ufugaji huo maana natarajia kuanza mradi soon. Pm utapokea wangapi ?? Mwaga vitu hapa kwa faida ya wengi
 
Wakuu, natafuta vifaranga vya kuku wa kienyeji. Bei iwe reasonable. Kama bei ni nzuri nitachukua wengi ila kwa awamu.
 
Wapo lakini wa wa siku moja ni mpaka order wa ni sh 2000 wa siku tatu wameanza chanjo ni 3000 unajua umeme uko juu na madawa pia
 
Gazeti, Chasha Poultry na wadau wengine... ni nini kinasababisha kuku wa kienyeji kufa bila kuonyesha dalili ya ugonjwa wowote? Kuku wangu ninawafungia na banda ni zuri. Pia nazingatia chanjo, chakula kizuri na majani. Wiki hii wamekufa wanne mfululizo kila siku naokota mmoja bandani! Tatizo linaweza kuwa nini?
 
Wapo lakini wa wa siku moja ni mpaka order wa ni sh 2000 wa siku tatu wameanza chanjo ni 3000 unajua umeme uko juu na madawa pia

Ok. Mimi nafanyia ufugaji Moshi Mjini. Vifaranga hivi vikwapi?????
 



AHSANTE kwa habari nzuri....mimi nashida nahitaji doctor wa mifugo je hawa wamejificha wapi....nipo Dar...Mwenye number au anayejua alipo anijuze please....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…