Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nimeuhifadhi huu uzi...nitaupitia vizuri madini mengi sana kuusoma juu juu! Keep up the good work mkuu.
 
ESSENCE CONDULT LTD.
Kwa wale waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye Nia ya kuanzisha makampuni na biashara ndogo na kubwa lakini hawajuj waanzie wapi essence consult ndio jibu lako.
Na wale walioko kwenye biashara na hawana mchanganuo wa biashara (business plan) na hawajui waanzie wapi basi essence consult itakupatia jibu.

Na wale wanaotafuta ushauri wa biashara, wawekezaji na mikopo ya biashara na usajiri wa makampuni basi essence ipo kwa ajiri yako.
Kwa maelezo zaidi na huduma zetu:-

Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
0655 204 666
e.consult16@gmail.com.
 
Mimi nimependa na nimefurahia somo hili, wengi wetu hatupendi kushughulisha akili ndo maana tunataka kila kitu tuambiwe mfano ujenzi wa banda ni jambo ambalo kwa akili ya kawaida mtu unaweza kufanya pia wazo la ndugu hapo kuanza na kuku 25 si lazima bali unaweza anza na kuku hata 10 kulingana na kipato na mtaji ulionao,,,,,,,, otherwise asante sana kwa somo hili.
 
Sasa hiyo alovera unaifanyaje,ili uitumie kama dawa
 
Ahsante! Najenga JELA muda huu! Kuna kuku 'wahalifu' wanapiga tu msosi kwa kisingizio cha kulng'ang'ania kutamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…