Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

*Kubota
mama joe
mama timmy
Asigwa*
na wadau wengine wa ufugaji shukran sana kwa michango yenu mpk naona wivu wa maendeleo lkn ni kwa wema sio kwa ubaya mpk najiona nimechelewa sana na im runng out of time

baada ya kusoma uzi huu na kupata uzoefu wa ufugaji wa kuku japo tulipokuwa secondary wakati huo tukifundshwa Agriculture ktk part ya poutry farming tukajibia paper za form 4na habari ikaishia hapo sasa naona elimu ile haikupoa bure
nimesoma uzi wote nataka niende kwenye practical zaidi sina banda sina mahali pa kuanzia lkn ujuzi huu unanitosha kuweka fungu fulani mahari pa kuanzia na kujenga mpk mabanda kikubwa nilikuwa nahitaji kuwatembelea wadau wawili ktk hao nilio wataja ikiwepo mama joe kubota na wengine ili nijifunze baada ya kusoma huu uzi wote
Kikubwa nami ni tabibu wa magonjwa lkn ya binadamu sio ya wanyama kwahiyo lzm utfte watu waliokuwa na uzoefu wa aina ya elimu uliyokuwahuna niko dar es salam na ninaplan kufuga kuku wa chotara wa mayai na nyama lakini kutotolesha ni kwa njia ya incubator ili nitotoleshe wengi zaidi kwa wakati mmoja
Changamoto zilizopo.
Ni starter mesh ya kuwakuzia hao kuku kwa week 4-6za mwanzo
Na kuwazuia kuku kufa ktk umri mdogo ,mpk mkubwa
Gharama za magonjwa lkn kwa kuzingatia uzi huu kmutawalisha vzr magonjwa mengi hupotea nilichokuja gundua kufa kwa kuku kunatokea baada ya kubadilisha lishe yao na hapo ndio kila mtu anapojutia kufuga hivyo nimeonelea kbl ya kuwrka ht kajibanda nifike nijionee mwenye na camera kbsa nipige picha km wadau wataruhusu hivyo
Kama wadau wengine walivyochangia ktk huu uxi na kutokana kwamba mama joe alishaahidi kutuletea mrejesho wa jinsi ya formula ya kuchanganya hiyo starter mesh kwani ttzo lipo ukiwa na kuku wengi hutoweza kumudu gharama za mfuko wa chakula wa vifaranga km unaplan kila siku 21uwe una vifaranga zaidi ya 200
haya tunasubiria na tunamuombea apate namna ya kujua kuchanganya mlo wa vifaranga vya siku ya kwanza mpk 4-6wks
Mwa minajiri hiyo naomba kwa dhati kabisa na kwa mapenzi yenu niwatembelee mama joe kwa sababu kuku niwatakao ameshawafuga kwahiyo uzoefu anao na kubota pia niko dar es salam lkn km ni moro nitafika kukutembelea na natarajia kupata marejesho maxuri na msituchoke
 
Watu wamepoteaa hii tready ila nadhani ipo siku mtapita tu narudia tena kutoa shukrani zangu kwa wote waliotoa michango mbalimbali
 
 
Kwa maelezo niliyosoma inaonyesha mtoa mada hana ufahamu kabisa wa hao kuku. Namwomba anitembelee au awasiliane nami kwa namba +255756993428 nimpe darasa hai.
 
Kwa maelezo niliyosoma inaonyesha mtoa mada hana ufahamu kabisa wa hao kuku. Namwomba anitembelee au awasiliane nami kwa namba +255756993428 nimpe darasa hai.
Kwa nini usitoe hilo darasa hai hapa hapa kama mkuu alivyofanya? Huoni kama kufunguka hapa kutafaidisha wengi zaidi? Asante.
 
Kwa maelezo niliyosoma inaonyesha mtoa mada hana ufahamu kabisa wa hao kuku. Namwomba anitembelee au awasiliane nami kwa namba +255756993428 nimpe darasa hai.
Malizia Hapa hapa acha Uchoyo. Yaheri yeye alie-thubutu kuongea Mbele yetu kuliko wewe unaetaka kwenda nae Mafichoni.
 
Napenda sana tena niko tayari kutoa darasa,ila nachelea kutoa darasa uchwara. Nimetoa namba yangu ya simu ili tuongee,muda ni mali
 
Naomba kujulishwa jinsi ya kufunga kuku wa kienyeji pamoja na kutotolesha vifaraga kwa wingi bila ya kutumia machine
 
Kwa maelezo niliyosoma inaonyesha mtoa mada hana ufahamu kabisa wa hao kuku. Namwomba anitembelee au awasiliane nami kwa namba +255756993428 nimpe darasa hai.

Huu ni uchoyo na roho mbaya, mwenzako kasema yoote hapa wewe unaona mpk upigiwe simu?
 
Mada nzuri,ila hujazungumzia masoko. Kuzalisha ni kitu kimoja mauzo na gharama za uzalishaji ni vitu vya msingi pia kujua.
True nimepitia post kibao kuhusu ufugaji ila hamna deep analysis ya soko zaidi ya nitakuPM au nitafute kwa namba hii......
 
salaam mkuu,

Bokea ni chotara la kuchi, kati ya kuku wa kienyeji na kuchi, kuna breed inayotokana na mchanganyiko huu, ni nzuri sana mkuu. Wengi huaminishwa kuwa ni kuchi kumbe chotara.
 
Habari Mfugaji Mwenzangu!!
Leo naomba tujadili changamoto zinazoikumba sekta hii ya ufugaji.
Mimi nafuga kuku wa kienyeji changamoto ninazokumbana ni kama ifuatavyo:-
Vifaranga kufa ovyo
1. Sometimes unakuta vifaranga vimekufa bila sababu ili hali nakuwa nimewachanja chanjo

2. Ukosefu wa chakula cha vifaranga
Hii ni moja ya shida kubwa kwa mfugaji. Hakuna chakula rasmi kwa vifaranga wengi wetu tunabuni tu

3. Mayai kutotolewa yote
Hii ni sisi ambao tunaishi vijijini ambako hakuna incubator

Hizo Ni baadhi tuu zipo nyingi sana ambazo kama takifanikiwa kuzisolve ufugaji utatulipa

Ndg mwanajf naomba tuweke uzoefu wetu ili tusaidie wengine wenye ndoto za kufuga wazijue changamoto ambazo watakumbana nazo

"jamani ufugaji ni bonge la mtihani, ukifaulu umetajirika"
 
Tafuta jamaa ana ID ya Kubota search ufugaji wa kuku utapata maelezo ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…