Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

mkuu mi naitaji sana kufuga kuku wa kizungu na mabanda nishajenga tatizo mpaka sasa sijajua naanzia wapi pia najrbu kupata ushauri kwa watalaam ila nahis bado kuna kitu natafuta naitaj unisaidie
Mkubwaaa habari za asubuhi upo wapi unapayokana maana nilihitaji msaada wako
Au unipe tu mbegu ya kuku wako ntk nije kujionea mwenyewe
 
habar natafuta mtu anaeuza kuku wa kienyej naitaj matetea kama kumi kwe yoyote aliekua dar tuwasiliane 0712659807
 
Naomba kujua soko la kuku kipindi hiki kwa wajasiriamali wenzangu huko mliko,maana kwa upande wangu naona gharama kama chakula madawa,chakula kimepanda mno na vifaa vya chakula vimekuwa ghali mno na hivyo kufanya shughuli kuwa ngumu kwa upande wangu.
 
Soko la Kuku kiujumla ni Gumu lakini Ni Jepesi pia Kulingana Na Target yako
Pia Ktk kuku Kadri uwekezaji wako unavyo nona ndio na Maslahi yako Yanavyo nona

Wengi tunafeli Pale tu tunapoamua kuanza Kufuga huwa hatuna Malengo
Yani Mtu Wazo linamuijia Ghafla na Anavijihela mfukoni Basi akimbilia kujenga Banda kisha anunua kuku 7 na kujiita Mfugaji Mwezi ujao kapiga dili ananunua kuku wengine 20
Sasa siku Mambo yakimuendea Kombo basi kuku hawali na Hata chanjo hawapati

Ushauri kabla hujafikiria Kujiita Mfugaji Mjasiriamali kwanza Tambua kila Fani inahitaji Uwekezaji Hivyo lazima Uwe na Mtaji Timilifu
 
Naomba kujua soko la kuku kipindi hiki kwa wajasiriamali wenzangu huko mliko,maana kwa upande wangu naona gharama kama chakula madawa,chakula kimepanda mno na vifaa vya chakula vimekuwa ghali mno na hivyo kufanya shughuli kuwa ngumu kwa upande wangu.

Unao Wangapi Mkuu
 
Unao Wangapi Mkuu
Nimebaki na kuku 233 tu, ninapouliza soko kwa wengine ni kutaka kujua hizi changamoto ninazokumbana nazo kipindi hiki ni kwa wote??? Na tunavuka vipi kwenye changamoto namna hii.?? Kwa kupunguza idadi zaidi kuendana na mahitaji au kuwapunguza na kuuwaacha kuku waishi mfumo huria kama ninavyofanya?(kumbuka madhara ya kuwaacha mfumo hurua)
 

Samahani Ntakuwa na Maswali mengi je Kwa siku Unapata Trei ngapi za Mayai na huko uliko soko la Mayai ni Bri gani kwa Trei ya Kienyeji
 
mkuu wewe umekulia New york? au Michigani? kwa sababu kama umekulia kijijini basi unajua fika tabia za kuku wa kienyeji.

Layers wenyewe hawatagi kila siku sembuse wa kienyeji? how come?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…