Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Aliyeko Bukoba na ana kuku wa kienyeji au chotara tuwasiliane PM tafadhali
 
Naomba tuwasiliane mimi nahitaji kufuga kuku ila naanza kimaskini maana mtaji wangu hauwezi kuzidi laki5 njoo inbox tuseme zaidi.
 
asante sana mkuu
 

habari zenu ndg leo nimeamua kuonyesha faida niliyo ipata baada ya kufundishwa na kuelewa jinsi ufugaji wa kuku wakienyeji unavyo weza kukuingizia kipato kwa kiasi kikubwa.

Kiujumla nilianza nikiwa na kuku sita yaana majike matano na jogoo moja nilianua kuanza na kuku hawa wachache kwa sababu kilikiua nikipindi changu cha kwanza/ndio mara yangu ya kwanza kufuga nikaanao hawa kuku baada ya mwez mmjoja majike yote yalianza kutaga na kulalia.

Baada ya siku 21 izi nisikua ambazo kuku uatamia.mayai yake na kuweza kupata vifaranga na mshukuru mungu niliweza paata vifaranga vya kutosha vilivyo weza kunifanya nijione naweza kufanya mendi zaidi na nikapata pesa za kutosha.

"Hakuna mafanikio.yasio.kua na chamgamoto"
katika ufigaji hua kuna changamoyo chache sana ambazo hua mgugaji wa kuku wa kienyeji huweza kuzihimiri na kuweza vuvuna matunda mazuri. changamoto hizo nikama

(a) mgonjwa kunamagonjwa ambayo kuku akiyapata huweza kumganya aka dhohofika na kutokua na afya nzuri na pia nivema mfugaji akafata taratib za chanjo ilikuweza kuwakinga kukuwake dhid ya mgonjwa kama NDUI na magonjwa mengine

(b)Eneo la kuwahifadhia kuku hapa watu wengi huangaika sana kufikiri atawaifadhia wap kuku endapo ataanza kuwafuga unacho takiwa kufanya.embu tafuta fundi na kumuonyesha eneo unalo taka kufugia iliachukue vipimo na kuweza kukupihia gharama anza na banda dogo ambalo halito kufanya utumie pesa nyingi.

EWE KIJANA MWENZANGU MTANZANIA MWENZANGU FUNGUKA UPIGE PESA[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Kwa mfano ukianza na kuku 10 jike na matatu madume.nikatunza na kuwalisha,yamkini nikawa na kuku wangapi baada ya mwaka m1?
 
mimi nakushauri ufuge kuku wengi kuanzia 100 na kuendelea. mana huyo mmoja utaishia kunywa supu. af tena jogoo duh!!
 
Nishawafuga sana kuku wa nyama,mayai,kienyeji,broiler na hadi sasa nauza vifaranga wa aina yote mwenye swali au ahitajie ushauri karibuni. 0657257509
 

Attachments

  • IMG_20170201_131143.jpg
    295.5 KB · Views: 110
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…