Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Aisee hao vifaranga wa miezi miwili ukiwalisha vizuri wanaanza kutaga baada ya muda gani mkuu?
 
Aisee hao vifaranga wa miezi miwili ukiwalisha vizuri wanaanza kutaga baada ya muda gani mkuu?
Miezi 6 ndo umri wa Kuku kuanza kutaga!. Hao sio vifaranga tena nimeweka picha ya kipindi vifaranga,kwa sasa ni wakubwa na wote wameatamia saizi
 
Idea ya mkuu Kajole ni nzuri, ila inachukua muda kuanza uzalishaji, kwa pesa aliyo nayo anaweza kununua tetea 8 na jogoo 1,ndani ya mwezi mmoja na nusu anaweza kuzalisha vifaranga 80 ambapo vifaranga hivi vitahudumiwa na mama zao kwa muda wa wiki 2 anawanyang'anya mama wanakaa kidogo wanaanza kutaga tena, kwa kuku hao ndani ya miezi 4 anaweza kuwa na kuku zaidi ya 100 na akawa ameuza mayai mengine.
 
mkuu upo makao makuu nini? mazingira tu yamenipa majibu
 
Nunua matetea wanne na jogoo mmoja. Jenga banda dogo hapo nyumbani na uwaweke, mcheki dogo asiyekuwa na kazi hapo nyumbani. Mwachie awe anawaangalia afu we tafuta kazi nyingine ufanye......

Umetishaa Mkuu...Vp Lkn Kuhus Magonjw
 
Dah..Asante Sana Mkuu..Umenipa Hamasa kubwa saana
 
Kuna Madawa yoyot uliokuw unawap km chanjo vile...
 
Uzi mtamu huu yan ukisoma unaona njia rahic ya kulegeza vyuma lkn mkuu kila jambo hua na changamoto tueleze na changamoto za kufuga haswa ktk magongwa wadudu n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wakuu wa JF, Tunauza vifaranga chotara aina ya Sasso; vinapatikana zaidi ya 1,000 kwa wiki.

Sifa za Kuku Sasso
1. Wanavumilia magonjwa;
2. Wanataga mayai mengi
3. Wanaweza kufugwa closed ama open range ( kama kuku wa kienyeji)

Kifaranga kimoja ni Tshs 1,800/= (day 1 old chic)

Tuwasiliane kwa 0682 231053.
 
Mkuu hizo bei mbona expensive sana????Je wanakuwa na chanjo gani ambayo mnakuwa mmewapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizo bei mbona expensive sana????Je wanakuwa na chanjo gani ambayo mnakuwa mmewapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…