Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Yaani hizi story kama za forex za kutengeneza milioni 10 kwa wiki[emoji134][emoji134][emoji134]
 
wandugu =kama ukijifunza changamoto za biashara hasa ufugaji pia ukafanya reserch ya masoko,,

,,ukawa na mtaji wa chakula na madawa,,
Ufugaji hasa wa kuku wa mayai unalipa sana,

,,Mm nimefuga sana,,,kuku wanihitaji usimamizi madhubuti,,Wamenipa faida nyingi sana
 
Kuku hawaumwi??
Soko tu ni mtuhani mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku wa kienyeni hawajawahi kosa soko.Tatizo ni muda wa kukomaa, maxingira, magonjwa, wezi nk
 
Baada ya kuwanyang'anya vifaranga had majike ni wiki 2 au 3 tu wanaanza kutaga tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…