Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nilitamani sana kujua jinsi ya kupata masoko ya kuku wa kienyeji!
 
Chochote kile unachoamua kukifanya ukikifanya kwa makini lazima ufanikiwe so dedicate muda wako na akili cause sio rahisi sana kufuga kuku wengi wa kinyeji.
 
Asante sana, tuwe makini gharama lazima ziwepo tena sio ndogo nimeshawahi kumfanyia mtu costing ya kufuga kuku mia mbili lakini yeye ananunua kifaranga cha mwenzi mmoja kwa sh. 3000 ambayo ni laki 3, Gharama kwa mwenzi sichini ya laki 1 na nusu,ambapo wanaishi miezi mitano ambapo ni laki 7 na nusu baada ya hapo anauza kwa elfu 10 mmoja inakuwa kama milion mbili lakini kuna faida nyingine kama mayai,vifaranga.
 
Kuna vitu bado watu hawajavijua ndio tatizo.
Matunzo ya kuku hususani anapokuwa kifaranga
na changamoto za magonjwa, kuna dawa nzuri za asili
ambazo ukizitumia ipasavyo hutojuta,
Ni vigumu mkuu kuweka kila kitu hapa jukwaani
kwani muda unabana na maelezo ni marefu.
Huu ni mwongozo tu watu wanaweza kutafuta
maarifa zaidi. ingawa nimeona kuna umuhimu wa
kuandaa kitabu kwa ajili ya kuwafafanulia
watu kwa undani zaidi
 
Inategemea uko wapi.


Mkubwa! Ktk mtiririko wako wa post yako ya awali kuna mahala umegusa minyaa kama ni dawa nzuri kwa kuku.
Je? Unaweza ukatufafanulia namna ya kutengeneza na kuweza kuwapatia??
 
Dah hii ndo imenileta JF maana nimeanza kuiona kwenye Blog fulani lakini yule mtu kawa muungwana kasema wazi kuwa huku ndiko alikoitoa. Ahsante sana mkuu mchango umeenda shule!
mkuu, mi napendaga sana hao BATA MAJI kama kwenye avata yako!, wanapatikana wapi na kwashgapi?
 
Leo kila thread ya kuku nimo...
nimejua mpaka wadau wakubwa...LAT
 
Kufuga kuku wengi kwanza ni eneo mtaji na umakini wa hali ya juu,kuku wakiwa wadogo wanahitaji uangalizi wa karibu sn mm nafuga kuku wa kienyeji,lakini napenda kuwaambia ndugu zangu wanaopenda kufuga chochote ukipendacho ni rahisi kufanya hata kiwe na ugumu gani lazima utakiona chepesi na mtu yeyote mvivu ufugaji hawezi coz una mambo mengi.
 
kwa elimu hii inaweza ikawa zaidi ya kwanzia primary adi chuo,unaweza ukawa msomi lakin usifanikiwe lakin ukasoma hapa tu ukafanikiwa ata degree yako usiitumie tena.

thanx bra
 
Asante sana gazeti kwa kuweza kutufumbua macho kwa kunipa mwangaza huo nitaufutatilia na kuanza kutekekeleza mambo uliyoyaandika hapa naomba nitumie katika link yangu au katika email yangu nitakutumia pm muda si mrefu ili uipate hiyo email nitashukuru ikiwa utatuma

siku njema
 

Ni ushauri mzuri ingawa sijaona garama za mabanda ,pia ni sehemu gani Tanzania unaweza kufanikiwa kwa ufugaji huu.
 
Kitomari2
Mkuu nashukuru sana, nimeongea na nyumbani vifaranga vimefika na vinaendelea vizuri. Nitakujulisha zaidi nitakaporudi na kuviona.

Ubarikiwe sana,


Annina
 

Tupo pamoja Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…