Ufugaji wa kuku wa kienyeji

Ufugaji wa kuku wa kienyeji

PATIE DE CHRISS

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
460
Reaction score
229
habarini wadau wa JF
Kwa kweli mwaka huu nimeamua kuaanza ufugaji wa kuku wa kienyeji
Ningependa ushauri wenu kwani niataka kujua vitu gain nahitaji ili niweze kufuata ndoto yangu ya ufugaji wa kuku
Nataka kuaanzia vifaranga mpaka baadae kuja kupata mayai kwa ajili ya kuuzaa.
Ningependa kupata ushauri wenu kabla siijaanza ili nijue nini kinatakiwa hata baadae nije kuwa mfanyabiashara mkubwa katika uzaji wa mayai na kuku.
NAWATAKI WOTE HERI YA MWAKA MPYA 2019
 
Mkuu kuna vitabu kibao na bei ni 1500 tu utapata maarifa na uzoefu mkubwa sana, humi JF ni fifty fifty mkuu utakatishwa tamaa bure na mwisho wa siku ndoto yako iyeyuke pia unaweza pata wataalamu na ushauri mzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu DE CRISS kuna Uzi humu nadhani umeletwa na "Hivi punde au Tutor B" jamaa wako vizuri mno,utafute huo Uzi hutojutia.
 
Unasomeka...USHUHUDA;Watanzania tuwe wakweli juu ya ufugaji wa kuku.Umeanzishwa na Hivi punde.
 
Back
Top Bottom