Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 961
- 533
Suip,Nitakutafuta wakati wowote nikishanunua namba zako ni zile zilizopo kwenye post yako yaani 0767989713, 0786989713 na 0715989713 sio? Pia naomba kuuliza kwani kwa sasa maduka ya mifugo kwa miji midogo huwa hwana bidhaa mpaka uweke oda wakuletee nimekuta Broiler Premix yenyeCalcium 26% na Phosphorus 9% na elements nyingine je ni chukue au niweke oda waniletee?
Suip,
Namba zangu ni hizo hizo uko sahihi. Usichukue hiyo Broiler premix,ni bora uiagizie hiyo DCP.
Asante sana Teku kwa kuvutiwa na uzi huu. Kwa 1.5m utatakiwa uanze na kuku wa nyama 350 ambapo utatumia gharama ya tsh.1546250. Kutoka kwenye bajeti yako utatakiwa uongeze tsh 46250 kukamilisha mradi wako. Hesabu hiyo imezingatia kuwa huna mabanda ya kufugia na utakiwa ukodi chumba kimoja chenye ukubwa wa eneo la 3m x 6m. Baada ya wiki 6 utawauza kuku wako na utatengeneza mapato jumla ya sh 2275000. Faida utakayopata baada ya kutoa gharama zote ni tsh 728750/=.Habari mkuu Zantsan. Pole na majukumu ya kila siku.
Nimevutiwa sana uzi wako huu wa ufugaji wa kuku.
Nami napenda kuanza huu mradi mwakani mwanzoni.
Nimepanga nianze na kuku wa nyama kwanza wakat najipanga kwa wa mayai na kienyeji mradi ukichanganya.
Nategemea kuufanya huo mradi dodoma. Nina mtaji wa 1.5m. Je nianze na kuku wa ngap wa nyama?
je naweza kupata mchanganuo kwa hy 1.5m?cna mabanda. Ntashukuru kwa ushauri wako.
Mimi ni mfanyakazi wa manispaa nataka nijiongezee kipato kuptia huo mradi. Vp soko la kuku wa nyama dodoma mana mi ni mgeni kabs huko
kuna rafiki yangu anahitaji kufuga kuku wa Kienyeji elfu moja(yaani aanze na vifaranga mpaka hatua watakayoanza kutaga mayai ili atotoreshe kwa mara kadhaa kisha awauze kuku wakubwa),napenda kufahamu gharama za kuwakuza hawa kuku,banda tayari lipo,na gharama ya kuwahudumia kwa hiyo miezi sita itaweza kulipa.nitahitaji kufahamu gharama za kunifanyia mchanganuo huu.Asante sana Teku kwa kuvutiwa na uzi huu. Kwa 1.5m utatakiwa uanze na kuku wa nyama 350 ambapo utatumia gharama ya tsh.1546250. Kutoka kwenye bajeti yako utatakiwa uongeze tsh 46250 kukamilisha mradi wako. Hesabu hiyo imezingatia kuwa huna mabanda ya kufugia na utakiwa ukodi chumba kimoja chenye ukubwa wa eneo la 3m x 6m. Baada ya wiki 6 utawauza kuku wako na utatengeneza mapato jumla ya sh 2275000. Faida utakayopata baada ya kutoa gharama zote ni tsh 728750/=.
Dodoma soko la kuku wa nyama lipo, japo kuna kuku wengi wa kienyeji lakini hawakidhi mahitaji kutokana idadi kubwa ya watu inayoongezeka kila siku hasa kutokana uwepo wa vyuo vingi vya kati na vikuu pamoja na serikali kuanza kuipa umuhimu kama makao makuu ya nchi, na kuhamishia baadhi ya wizara,pamoja na uwepo wa bunge kunakopelekea kuwepo kwa hotel nyingi sana. Pia kuku wa kienyeji wanauzwa kwa bei kubwa sana kitu ambacho walaji wengi hawabudu na hapo ndipo hitajio la kuku wa kisasa wa nyama linapokuja.
Ni mfanyakazi wa Idara gani hapo manispaa, maana hata mwenyewe niko hapa Dodoma, hivyo nadhani utakuwa na bahati kwani utaweza kupata msaada pamoja na ushauri wangu kwa ukaribu.
Kuhusu mchanganuo huwa tunaandaa kadiri mteja anavyohitaji na gharama zetu kwa ajili ya mchanganuo ni asilmia kumi ya mtaji uliowekezwa. Kwa wewe hapo gharama ya kukuandalia mchanguo itakuwa tsh laki moja na nusu, hii ikiwa ni asilimia 10 ya 1.5m. Michanganuo yetu tunayoandaa ni ya kiwango cha hali ya juu, licha ya kukuwezesha kuitumia kukopa bank, lakini pia inakupa mwongozo kamili ni namna gani utafuga kuku wako hatua kwa hatua na kukuwezesha upate tija uliyoikusudia.
Katika huo mchanganuo wa mradi wa ufugaji wa kuku wa nyama kila kitu kinachotakiwa kukuwezesha katika ufanisi wa ufugaji wako wa hao kuku hujumuishwa katika hiyo plan. Mradi wowote usiozingatia mchanganua sawa na kipofu anayetembea barabarani.
Asante.
kuna rafiki yangu anahitaji kufuga kuku wa Kienyeji elfu moja(yaani aanze na vifaranga mpaka hatua watakayoanza kutaga mayai ili atotoreshe kwa mara kadhaa kisha awauze kuku wakubwa),napenda kufahamu gharama za kuwakuza hawa kuku,banda tayari lipo,na gharama ya kuwahudumia kwa hiyo miezi sita itaweza kulipa.nitahitaji kufahamu gharama za kunifanyia mchanganuo huu.
Kwa dalili ulizosema naamini watakuwa ni vifaranga,si ndiyo?Dalili zingine ni kuwa viranga wanaonekana wameshusha mabawa, wanasisinzia sinzia, wanaonekana kama wenye baridi, pia vifaranga wanakalia miguu na huwa hawawezi kutembea hadi uwasukume. Ikiwa tatizo ndiyo hilo,basi tafuta dawa ya trimazine 30% na dawa yoyote ya vitamini mfano vitalyte, amin'total, ant sress nk.Wakipewa dawa hizi kuku wako watapona.Kuku wangu wanazubaa na kunya chokaa tatizo nini na dawa ya mioyoo
Nimeshakutumia contacts[/QUO
Mkuu ZANTSAN namie nidondoshee contact zako.
Yaah wanakufa vinginevyo wawe wa kienyeji ambao wanalelewa na mama yao humo humo ndani.Swali jingine mkuu je vifaranga bila source of heat kwenye room wanaweza kufa?
Nitakutafuta wakati wowote nikishanunua namba zako ni zile zilizopo kwenye post yako yaani 0767989713, 0786989713 na 0715989713 sio? Pia naomba kuuliza kwani kwa sasa maduka ya mifugo kwa miji midogo huwa hwana bidhaa mpaka uweke oda wakuletee nimekuta Broiler Premix yenyeCalcium 26% na Phosphorus 9% na elements nyingine je ni chukue au niweke oda waniletee?
Gceline sijui kama wameshaku PM ila kwa manufaa ya wafugaji wa kuku katika kupitapita mitandaoni nimepata Link ambayo inamanufaa kwani ina PDF za 1.Kulea vifarangaHabari yako naomba ni PM namna ya kutengeneza chakula cha kuku wa kienyeji kwani ninakuku wa kienyeji wapatao 30 ila najikuta nanunua tu chakula sasa nafikiria kutengeneza mwenyewe itanisaidia kupunguza garama naomba msaada wako.
Asante
sory wadau, hv kuna tofauti kati ya NEW CASTLE VACCINEna GUMBORO VACCINE.