Cross breed utagaji wao ni mkubwa kuliko wa kuku wa kienyeji pia ni mdogo kuliko pure breed.Pure breed wao utagaji wao ni mkubwa sana.
Uwezo wao wa kulalia na kutotoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cross breed utagaji wao ni mkubwa kuliko wa kuku wa kienyeji pia ni mdogo kuliko pure breed.Pure breed wao utagaji wao ni mkubwa sana.
Uwezo wao wa kulalia na kutotoa si mkubwa hata kidogo, mara nyingi kama unafuga machotara unapaswa uwe na kuku wa kienyeji watakaotumika kuatamia mayai.Uwezo wao wa kulalia na kutotoa?
Uwezo wao wa kulalia na kutotoa si mkubwa hata kidogo, mara nyingi kama unafuga machotara unapaswa uwe na kuku wa kienyeji watakaotumika kuatamia mayai.
Ndandidzi,Asante sana.
Nitampataje huyo jogoo wa kisasa RID. Pamoja na
Kitabu chako au muongozo wako katika ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji
Ndandidzi,
upatikanaji wa Majogoo aina ya Rhode Island Red ni mgumu kidogo kwa nchi yetu,badala yake unaweza ukatumia high breed yake ambao wanapatika kirahisi tu,ukihitaji bai tuwasiliane kupitia namba zangu.Kuhusu kitabu naweza kukutumia kwa njia ya basi mara baada ya kupokea hela yako.
Haya majogoo ya high breed yanapatikana njombe,yanauzwa tsh 15000 mmoja mwenye umri wa miezi 5,ukishindwa hiyo unaweza ukawanunua wale viranga wa kanga vijogoo ukavifuga upaka watakuwa na uwezo wa kupanda kisha unawatumia kwenye kukross na kuku wa kienyejiAsante sana. Nahitaji hao high breed si wanafaa ku-cross breed na wa kienyeji nikapata kosaafu nzuri tu. Nawapataje na gharama yake ikoje. Kitabu nitakipitia morogoro huwa napita mara kwa mara ila nitakupigia kabla.
Asante
Asante sana. Nahitaji hao high breed si wanafaa ku-cross breed na wa kienyeji nikapata kosaafu nzuri tu. Nawapataje na gharama yake ikoje. Kitabu nitakipitia morogoro huwa napita mara kwa mara ila nitakupigia kabla.
Asante
Haya majogoo ya high breed yanapatikana njombe,yanauzwa tsh 15000 mmoja mwenye umri wa miezi 5,ukishindwa hiyo unaweza ukawanunua wale viranga wa kanga vijogoo ukavifuga upaka watakuwa na uwezo wa kupanda kisha unawatumia kwenye kukross na kuku wa kienyeji
Mkuu hawa ni Kuku jogoo sio kanga kama kanga tuliowazoea sema aina hiyo ya majogoo wanakuwa na madoa kama ya Kanga.Mkuu nimekupata vyema. Napataje mawasiliano na hawa jamaa wa Njombe, bei yao naona ipo poa tu.
Hii habari ya ku-cross breed kuku na kanga kwangu imekiwa ngeni. Jogoo la kanga linapanda kuku, na kifaranga wake anatokaje. Nadhani hapa nahitaji elimu zaidi
asante
Mkuu muda sio mrefu nitakutupia majibu ya kina sana hope swali lako litawasidia hata wengine,haya ndiyo aina ya maswali yaliyoenda shule.Mimi ni mmoja wapo wanaohitaji kufuga kuku kwani nimeona wanafaida sana,ukiwafuga kitaalamu,na kuku ninaopendelea ni kuku wa kienyeji wa nyama na mayai sasa naomba msaada wa maelezo kama utaweza kuwekea na document nitashukuru
1.Je ni mtaji kiasi gani unahitajika kwa kuanza na kuku 200 hapo ukiondoa gharama za mabanda,na je gharama za matunzo ni kiasi gani kwa hao kuku 200?
2.Na soko la hao kuku linapatikanaje,na faida yake ikoje?
3.kwa kuku 100 wa mayai wanaweza kutoa trei ngapi za mayai kwa mwezi?
4.Inachukua muda gani kuanza kupata faida endapo utaanza na vifaranga?
5.Napenda kujua pia changamoto za kufanya hii biashara
Nitashukuru kama nitapata maelezo yatakayo nisaidia mkuu
Mkuu hawa ni Kuku jogoo sio kanga kama kanga tuliowazoea sema aina hiyo ya majogoo wanakuwa na madoa kama ya Kanga.
Vifaranga
Mkuu MTIRO unahitaji kuku wakubwa ama vifaranga?
nahitaji majoogoo matatu mkuu