Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Uwezo wao wa kulalia na kutotoa si mkubwa hata kidogo, mara nyingi kama unafuga machotara unapaswa uwe na kuku wa kienyeji watakaotumika kuatamia mayai.

Asante sana.
Nitampataje huyo jogoo wa kisasa RID. Pamoja na
Kitabu chako au muongozo wako katika ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji
 
Asante sana.
Nitampataje huyo jogoo wa kisasa RID. Pamoja na
Kitabu chako au muongozo wako katika ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji
Ndandidzi,
upatikanaji wa Majogoo aina ya Rhode Island Red ni mgumu kidogo kwa nchi yetu,badala yake unaweza ukatumia high breed yake ambao wanapatika kirahisi tu,ukihitaji bai tuwasiliane kupitia namba zangu.Kuhusu kitabu naweza kukutumia kwa njia ya basi mara baada ya kupokea hela yako.
 
Mimi ni mmoja wapo wanaohitaji kufuga kuku kwani nimeona wanafaida sana,ukiwafuga kitaalamu,na kuku ninaopendelea ni kuku wa kienyeji wa nyama na mayai sasa naomba msaada wa maelezo kama utaweza kuwekea na document nitashukuru

1.Je ni mtaji kiasi gani unahitajika kwa kuanza na kuku 200 hapo ukiondoa gharama za mabanda,na je gharama za matunzo ni kiasi gani kwa hao kuku 200?

2.Na soko la hao kuku linapatikanaje,na faida yake ikoje?

3.kwa kuku 100 wa mayai wanaweza kutoa trei ngapi za mayai kwa mwezi?

4.Inachukua muda gani kuanza kupata faida endapo utaanza na vifaranga?

5.Napenda kujua pia changamoto za kufanya hii biashara
Nitashukuru kama nitapata maelezo yatakayo nisaidia mkuu
 
Asante kwa ushauri , mimi nipo Njombe, Nitajaribu kusoma post mbalimbali zilizopita ili niweze kujifunza zaidi
 
Asante sana. Nahitaji hao high breed si wanafaa ku-cross breed na wa kienyeji nikapata kosaafu nzuri tu. Nawapataje na gharama yake ikoje. Kitabu nitakipitia morogoro huwa napita mara kwa mara ila nitakupigia kabla.

Asante
 
Haya majogoo ya high breed yanapatikana njombe,yanauzwa tsh 15000 mmoja mwenye umri wa miezi 5,ukishindwa hiyo unaweza ukawanunua wale viranga wa kanga vijogoo ukavifuga upaka watakuwa na uwezo wa kupanda kisha unawatumia kwenye kukross na kuku wa kienyeji
 
Asante sana. Nahitaji hao high breed si wanafaa ku-cross breed na wa kienyeji nikapata kosaafu nzuri tu. Nawapataje na gharama yake ikoje. Kitabu nitakipitia morogoro huwa napita mara kwa mara ila nitakupigia kabla.

Asante

Karibu mpendwa uniungishe vifaranga waliokuzwa tayari wa majogoo ya kanga wa umri wowote mpaka wiki 6.
 
Nami nawahitaji sana majogoo wa high bleed, je wanapatika Njombe sehemu gani? Pia naomba mawasiliano yao. Asante.
 
Mkuu nimekupata vyema. Napataje mawasiliano na hawa jamaa wa Njombe, bei yao naona ipo poa tu.

Hii habari ya ku-cross breed kuku na kanga kwangu imekiwa ngeni. Jogoo la kanga linapanda kuku, na kifaranga wake anatokaje. Nadhani hapa nahitaji elimu zaidi

asante
 
Mkuu hawa ni Kuku jogoo sio kanga kama kanga tuliowazoea sema aina hiyo ya majogoo wanakuwa na madoa kama ya Kanga.
 
Mkuu muda sio mrefu nitakutupia majibu ya kina sana hope swali lako litawasidia hata wengine,haya ndiyo aina ya maswali yaliyoenda shule.
 
Ninao vifaranga wake wa kuanzia wiki 2 na kuendelea mpaka wiki sita kwa bei nzuri karibuni,
Mkuu hawa ni Kuku jogoo sio kanga kama kanga tuliowazoea sema aina hiyo ya majogoo wanakuwa na madoa kama ya Kanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…