Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Wakongwe,

Kuna ndugu yangu ameanza mradi wa ufugaji kuku wa kisasa miezi kadhaa iliyopita. Ila changamoto anayopata ni katika kupata masoko, aliingia kwenye ufugaji bila kufanya utafiti wa masoko.

Kwa wenye kufahamu namna anaweza kupata masoko naomba mtusaidie.
 
Kuku wako unawauzia wapi?
 
Nadhani Toleo la sasa sio zuri ni kweli Ukuaji wao sio mzuri
 
Swali la kutaka kufahamu, wife ameanza project ya kuku, anafuga kuku aina ya Sasso wanaendelea vizuri lakini changamoto ya hawa kuku unakuta kuku wako wazima lakin ghafla tu ukienda bandani kuwaangalia unakuta mmoja wapo amekufa, mpaka sasa hii hali imetokea mara mbili huwa ni sababu ya nini? Chanjo zote anazingatia na anawapatia mwenye kufahamu zaidi naomba kunielimisha.na vipi kuhusu kodi ya serikali kwenye kuku ikoje mfugaji anapofanya kuku wake kama biashara.
 
Mbali na chanjo mkeo inabidi azingatie vitu vifuatavyo; itamsaidia;usafi w banda; awe na special slippers za au viatu vya kuingilia kwenye banda la kuku, awape kuku maji y kutosha kw ushauri zaid kuku akifa usimtupe; mpeleke kw Dr w mifugo au muite Dr w mifugo am chungu ze il ajue nn 7bu y kifo ch uyo kuku!!
 
Samahani wanaJF me ni muhitimu wa chuo fulani#kulingana na upepo nimefikilia kujiajili na nauna ufugaji utanifaa naombeni experience yenu juu ya ufugaji wa kuku WA kisasa au naweza Pata wapi dalasa ili nifuge kwa ufanisi mkubwa[emoji120]
 
Habarini mabibi na mabwana.

Natafuta tender ya ku-supply vumbi la dagaa, kwa wafugaji/watengenezaji Wa chakula cha kuku.
Mwenye uhitaji 0789925300.
 
Habari wa ndugu kwa wale wafugaji wa kuku wa nyama nafahamu katika kuandaa banda la kuku kwa ajiri ya kuingiza vifaranga n lazima pawepo na malanda na malanda mazuri hasa ambayo hayana mazala kwa kuku wako n malanda ya mpunga japo kwa hapa Dar n garama kidogo kwa roba moja ni 7000 ad 8000 mimi nawapa solution na unafuu kidogo wa haya malanda kwa roba moja utapata kwa 5000 na pia kadri unavyozid chukua tunaweza fanya biashara ya mali kauli na punguzo zaidi ya hapo tuwasiliane wana ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…