Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Hapana
 
Ndugu zangu habari yenu na polen kwa miangaiko, naombeni msaada wenu mm ni mfugaji wa Kuku wa nyama ninayeanza but nmepata changamoto wana wiki ya 4 ila hawaongezeki/kukua nifanyaje au ntumie njia gan ?View attachment 1994743
 
Naweza pata mteja wa kuku layers wako 700
,200 nimewachinja wako kwene frizer,location kakola,kahama 0692959979 kwa maelezo zaid na bei
 
Kuku sasso wanauzwa
Umri miezi3 na wiki3.
Wako120,
Bei ni 12000,
Location Ushirombo.
Kama mteja ni wa mbali atapunguziwa bei ili abakie na nauli ya kusafirishia. 0629306194 karibuni
 
 
helow mkuu kampuni ngapi tanzania zinazotoa mbegu nzuri ya kuku BROILERS?
 
Dr. za kwako mkuu natumaini ni mzima
samahani ni kwa kampuni zipi naweza pata mbegu nzuri za kuku BROILERS?
 
Uzuri wake ni upi tofauti na kuku wengine?
Sasso ni kuku Bora Sana Kwa mfugaji anayefuga kisasa na kienyeji Yoda Sasso wanavumilia mazingira na magonjwa. Wanafugwa kienyeji, unaweza kuwaachia wakatembee kwenye shamba. Wape chakula kiasi asubuhi Kisha waachie waende kujitafutia na jioni wape chakula kiasi tu na yatanenepa Sana.
Wana uzito mzuri, wanakuwa haraka kiasi kwamba ukimlisha vizuuri miezi 4-6 unamuuza Bei nzuri 12,000 - 20,000.
Sasso wanataga mayai na anaweza kutaga kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…