Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaranga bei inafika 2200 huko. We bei ya 1000 umeipatia wapiGuys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
Sawa bossVifaranga bei inafika 2200 huko. We bei ya 1000 umeipatia wapi
SilverlandWadau, ni kampuni zipi kubwa ambazo naweza agiza vifaranga wa kuku chotara (F1) ?
Asante mkuu
Naam! safe side that are the key words
Boss unaweza nisaidia formulaKuna mtu kanunua silverlands na bdo analalamika hawakui na wanakula sana. Cha muhimu hata hizo za mtaani mi ninazo na sasahv ndo nafuga kibiashara maana mwanzo nilifuga kwa matumizi yangu tu.
Kuku we mpe chanjo zote na kuna ugonjwa mmoja mbaya sana unaitwa coccidiosis unakuwa unawapa dawa tu ukiona choo cha ugoro au dalili ya damu.
Vinginevyo hamna changamoto yoyote mwaka jana mwishoni niliuza kuku 160. Sahv nina kuku 270 tayari kwa pasaka...maisha ni kudhubutu maana mwanzoni niliona hawana faida ila nikitoa gharama ya ulishaji faida naiona.
Pumba tani 1 nanunua kwa laki 3. Then mahindi,mashudu,uduvi au dagaa,mifupa na chumvi. Chakula cha kununua cha ready made ni gharama sana maana kuroiler wanakula balaaa hadi usiku kama ukiwasha taa wao ni kula tu hawajui kingine.
Jaribu huwezi jua bahati yako iko wapi mana kila mtu na mkono wake. Kuna mwingine biashara ya kuku anaona hailipi, mwingine biashara ya gari hataki kusikia kabisa,mwingine kilimo anaona hakilipi ila kwa waliotoboa kupitia hivyo vitu ina mana walijaribu bila kuangalia hasara kwa awali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss kama nikitaka kufuga kuku 300 , baada ya kujenga banda niandae bajeti gani?Ni nzuri sana kama una eneo kubwa na halina magonjwa ya kuwadhuru kuku hao, kikubwa hapo ni unataka kufuga kuku wa aina gani, kiasi gani, na lengo la kuwafuga ni lipi?
Unahisi humu hakuna?Kama hutojali pitia kwa wanaouza hao kuku then ulizia hayo unayoyahitaji, utayapata vizuri kuliko humu.
Ushauri wangu tu lakini.
Bro Extrovert we waga ni jau 😁🤣😂😂🤣. Nime cheka Sana mzee😁Anaenda kuinua kwa pesa gani ambazo unazo