DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
+255627728867Kwema wakuu! Tafadhali naomba mwenye wapi naweza pata elimu kwa njia ya kitabu hata pdf nataka nipate elimu ya kutosha kabla sijaingia katika mapambano rasmi. Asanteni.
Asante Sana boss na karibu SanaUzi makini sana
NitarudiVifaranga wa Bata bukini Wanapatikana UKONGA MOSHI BAR
CALL 0783 29 11 07
BEI 55000
UMRI MWEZI MMOJA NA NUSU
Kuroila ni wale nusu wazungu nusu wakienyeji? au ndo wale wa Malawi?๐S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED๐
AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
0781647066
____________________________________________
๐ โ๏ธ 0781647066
WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA MWANZA
tunazalisha na kuuza vifaranga aina zifuatazo
๐ ๐ 0781647066
Broiler KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 1300 KWA 2000= BOX LA PISI MIA NI TSH 130000/=
#LAYERS KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 2700/= BOX LA PISI MIA NI TSH 270000/=
Sasso #KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 1700/=BOX LA PISI MIA NI TSH 170000/=
@KUROILA KIFARANGA WA SIKU TUNAUZA TSH 1700/= BOX LA PISI MIA NI TSH 170000/=
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Note: vifaranga wetu wanakuwa tayari wamepata chanjo za awali kama MAREX
na pia vifaranga wetu tunafanya sex selection kwa breed's zote ili wateja wapate vifaranga wenye uwiyano mzuri wa jinsia
''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
KWA MAITAJI YA VIFARANGA BORA NA USHAURI WA KITAALAMU PIA WAWEZA WASILIANA NA SIMU NAMBA ๐ โ๏ธ
#0781647066
WHAT'S APP 0781647066
WAUZAJI_VIFARANGA. VIFARANGA_BORA
KUKU KUKU_PROJECT Kilimo ufugajiwakuku
SHAMBA LA Ufugaji Bora Tanzania,S&Q GROUP INTERNATIONAL LIMITED
Kuku ni biashara nzuri sana lakini inabidi uwe mjanja, kwanza jifunze kutengeneza chakula cha kuku mwenyewe
usiwe unanunua. Pili usiwe mbahili, hakikisha wanakula vizuri na madawa ya kupulizia kwenye mabanda unatumia
anza na kuku 2000.
Good luck.
Asante kwa mchangoUFUGAJI BORA WA KUKU WA NYAMA NA MAYAI:
WIKI YA KWANZA:SIKU YA 1 - 6 WAPE:GLUCOSEBROILER BOOST AU AMINOVIT AU SUPERVITVIGOSTART KWENYE CHAKULA (KILO 1 KWA MFUKO 1 WA KG 50) KUANZIA WIKI YA KWANZA HADI YA 4
SIKU YA 7CHANJO YA NEWCASTLE - MASAA 2 TU, WEKA MAJI NA VITAMIN MARA BAADA YA KUTOA MAJI YA CHANJO
WIKI YA PILICHANJO YA GUMBORO - MASAA 2 TU, HALAFU ENDELEA NA MAJI YA VITAMIN
WIKI YA TATUDOXICOL AU CTC20% NA AMPROLIUM, VITAMIN NA MOLASSES KWA SIKU 5 - 7
WIKI YA NNEHAKIKISHA KUKU WA NYAMA WANAKUWA KATIKA DOSE KUBWA YA VITAMIN
WIKI YA SITAWAPE KUKU WA NYAMA MAJI YA VITAMIN ASUBUHI NA MATUPU JIONI
WIKI YA NANEWAPE KUKU WA MAYAI CHANJO YA NDUIDAWA ZA MINYOO (PIPERAZINE AU LEKIWORM)VITAMIN AU SUPERVIT LAYERSWALISHE GROWERS MASH AU FARMERS CONCENTRATE HADI MIEZI 3 NA 1/2 TUMIA LAYERS MASH WAKIFIKA MIEZI 4 KAMILI AU WAPE MAJANI
WIKI YA KUMI NA MBILIWAPE CHANJO YA NEWCASTLE ( RUDIA KILA BAADA YA MIEZI 3) MASAA 2 KISHA WAPE MAJI YA VITAMIN
WIKI YA KUMI NA SITAKATA MIDOMO KISHA WAPE NEOXYVITAL KWA SIKU 3-5 ANDAA VIOTA
WIKI YA 54WAPE VIRUTUBISHO VYENYE KUONGEZA WINGI WA MAYAI MFANO GLP ( KILO 1 KWA KILA KILO 50 ZA CHAKULA, WIKI YA KWANZA NA NUSU KWA WIKI ZINAZOFUATA NA VITAMIN
WIKI YA 72TUMIA V RID KUSAFISHA MABANDA ILI KUUA VIJIDUDU PIA WEKA MAJI YA DAWA HII KWENYE DISH YA KUSAFISHIA MIGUU (FOOTBATH) ILI KUHAKIKISHA UDHIBITI WA VIJIDUDU (BIOSECURITY) NA KWAMBA VIFARANGA WANAOWEKWA HAWAATHIRIWI NA VIJIDUDU HIVYO.
WIKI YA 96ONDOA KUKU WOTE WALIOZEEKA
All the Best
Shukran sanaUFUGAJI BORA WA KUKU WA NYAMA NA MAYAI:

Mchawi mtaji tu, hapo kwa kuku 2000 labda kwa kila kifaranga ni Tsh 1,700. Ina maana unatakiwa uwe na atleast 5m kwa vifaranga, chakula na dawa.Kuku ni biashara nzuri sana lakini inabidi uwe mjanja, kwanza jifunze kutengeneza chakula cha kuku mwenyewe
usiwe unanunua. Pili usiwe mbahili, hakikisha wanakula vizuri na madawa ya kupulizia kwenye mabanda unatumia
anza na kuku 2000.
Good luck.