Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Jubilant nimekutumia kwenye private message yako ya JF

Nami naomba uniPM contact zenu mkuu,

Nina eneo nahitaji anzisha hii biashara ya kuku wa kienyeji lakini umenitisha kusema wa ukuaji hafifu hivyo nashawishiwika kuhamia kwenye chotara.
 
nami naomba unipm contact zenu mkuu,
nina eneo nahitaji anzisha hii biashara ya kuku wa kienyeji lakini umenitisha kusema wana ukuaji hafifu hivyo nashawishiwika kuhamia kwenye chotara

Chotara ni wazuri, kwani wanakuwa hawajapoteza uasili wao ila tu wanachukua baadhi ya tabia za kuku wa kisasa, mfano kukua haraka na uwezo wao katika utagaji. Namba nimekutumia
 
RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU MAYAI NA CHOTARA WAFUGWAO NDANI(INTENSIVE SYSTEM)[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]UMRI
KTK
WIKI[/TD]
[TD]UMRI
KTK
SIKU[/TD]
[TD]AINA
YA
CHAKULA[/TD]
[TD]CHAKULA/
KUKU(g)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]0-7[/TD]
[TD]Chick's mash[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]8-14[/TD]
[TD] ''[/TD]
[TD]17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]15-21[/TD]
[TD]"[/TD]
[TD]26[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]22-28[/TD]
[TD]" "[/TD]
[TD]34[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]29-35[/TD]
[TD]" "[/TD]
[TD]38[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]36-42[/TD]
[TD]" "[/TD]
[TD]43[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]43-49[/TD]
[TD]""[/TD]
[TD]47[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]50-56[/TD]
[TD]'' ''[/TD]
[TD]52
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9
[/TD]
[TD]57-63
[/TD]
[TD]Growers' mash
[/TD]
[TD]57
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10
[/TD]
[TD]64-70
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]60
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11
[/TD]
[TD]71-77
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]62
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12
[/TD]
[TD]78-84
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13
[/TD]
[TD]85-91
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]70
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14
[/TD]
[TD]92-98
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]74
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15
[/TD]
[TD]99-105
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]78
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16
[/TD]
[TD]106-112
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]83
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kazi kweli, Hao kuku wana nini special cha kuwafanya wasipatikane Tanzania? na Je ina maana kuku wa kisasa wa mayai akiwekewa Jogoo, hili yai halitatotorewa?

Hawa kuku mheshimiwa ni kuku maalum,kazi kubwa imefanyika kwenye kutengeneza kosaafu yake. Mara nyingi kosaafu hizi hutengenezwa kwa utaalam wa hali ya juu ambayo sisi Watanzania na waafrika kwa ujumla hatuna utaalamu huu. Hata kenya ambao wanasupply kuku wazazi wa nyama kosaafu zake hawatengenezi wao, wanachofanya wao wanaagiza Grand parent stock kutoka Uingereza then wanaangulisha parent stock na kuwauza.

Hawa kuku wa mayai wa kawaida wakiwekewa jogoo, mayai yake yanatotorewa lakini vifaranga wake wanakuwa dhaifu na hufa ovyo kwa kuwa ile kosaafu haikuandaliwa kwa ajili ya kutoa mayai ya kutotorewa isipokuwa ni ya kuliwa tu. Kuku hawa ni hybrid ambayo haifai kuwageuza parent stock.
 
Habari zenu wana JamiiForums. Nimefurahishwa sana na mjadala huu kuhusu ufugaji wa kuku. Shukrani za pekee zikufikie kaka Kichwa mbovu kwa elimu uliyotupatia, nimechukua contacts zenu ninaahidi kukutafuta.
 
Habari zenu wana jamii forum.Nimefurahishwa sana na mjadala huu kuhusu ufugaji wa kuku.Shukrani za pekee zikufikie kaka Kichwa mbovu kwa elimu uliyotupatia,nimechukua contacts zenu ninaahidi kukutafuta.

Asante sana PrencessV, karibu tuongozane kwenye njia ya mafanikio,njia ambayo wewe mwenyewe utakuwa boss wa mradi wako.Asikuambie mtu kujiajiri inalipa sana.
 
Hawa kuku mheshimiwa ni kuku maalum,kazi kubwa imefanyika kwenye kutengeneza kosaafu yake.Mara nyingi kosaafu hizi hutengenezwa kwa utaalam wa hali ya juu ambayo sisi watanzania na waafrika kwa ujumla hatuna utaalamu huu.Hata kenya ambao wanasupply kuku wazazi wa nyama kosaafu zake hawatengenezi wao,wanachofanya wao wanaagiza Grand parent stock kutoka Uingereza then wanaangulisha parent stock na kuwauza.Hawa kuku wa mayai wa kawaida wakiwekewa jogoo, mayai yake yanatotorewa lakini vifaranga wake wanakuwa dhaifu na hufa ovyo kwa kuwa ile kosaafu haikuandaliwa kwa ajili ya kutoa mayai ya kutotorewa isipokuwa ni ya kuliwa tu.Kuku hawa ni hybrid ambayo haifai kuwageuza parent stock

Ni kweli mkuu kupata pure breed yenye quality ya wazazi hutumii Hybrid inabidi upate parent stock yake ni kama trademark ya kitu na wanachofanya ni kukupa watakaotaga na utotoe tu na si kuzalisha, Yaani no franchise business.
 
Mtaalamu vipi mnaweza kuwa contracted kwa hapa Dar kuangalia kuku wa mtu na rate zenu zikoje kwa mwezi, yaani unatoa ushauri kwa kufanya visit kwenye banda at least twice or thrice per month na kushauri kuhusu ukuaji, chakula, chanjo, dawa na mengineyo. Au in case of emergence. Gharama zenu?
 
Mtaalamu vipi mnaweza kuwa contracted kwa hapa Dar kuangalia kuku wa mtu na rate zenu zikoje kwa mwezi, yaani unatoa ushauri kwa kufanya visit kwenye banda at least twice or thrice per month na kushauri kuhusu ukuaji, chakula, chanjo, dawa na mengineyo. Au in case of emergence. Gharama zenu?

Nakushukuru mama Joe kwa kunipa likes,hii inaonyesha una appreciate kile ninachofanya kwa niaba ya wenzangu.
Kuhusu kuwa contracted inawezekana na huwa tunafanya, mara nyingi visiting inafanyika mara 1 kwa mwezi kwa ajili ya kumonitor maendeleo ya mradi, kwa case ya emmegence hapo any time haiangalii ratiba, gharama ni negotiable,kwani lengo ni kuwafanikisha watu watimize malengo yao.Mara nyingi gharama zetu zinakuwa kubwa kidogo kwa mara ya kwanza unapotuita kwa ajili ya kukuconsult, lakini baada ya hapo unakuwa kama mwanachama wetu, hivyo utainjoy huduma kwa gharama nafuu.
 
Nakushukuru mama Joe kwa kunipa likes,hii inaonyesha una appreciate kile ninachofanya kwa niaba ya wenzangu.

Kuhusu kuwa contracted inawezekana na huwa tunafanya,mara nyingi visiting inafanyika mara 1 kwa mwezi kwa ajili ya kumonitor maendeleo ya mradi, kwa case ya emmegence hapo any time haiangalii ratiba, gharama ni negotiable, kwani lengo ni kuwafanikisha watu watimize malengo yao. Mara nyingi gharama zetu zinakuwa kubwa kidogo kwa mara ya kwanza unapotuita kwa ajili ya kukuconsult, lkn baada ya hapo unakuwa kama mwanachama wetu, hivyo utainjoy huduma kwa gharama nafuu.
Asante sana ni pm contact zako nikutafute mwisho wa mwezi huu ninapoanza.
 
FOR THE BEGINNERS WHO WISH TO ENGAGE THEMSELVES IN REARING CHICKEN,THE FOLLOWING TIPS SHOULD BE CONSIDERED;

BEFORE CHICKS ARRIVAL
  1. Clean and disinfect the poultry house and equipment (about two weeks ahead).
  2. Cover the dry floor with litter(3-4 inches of shavings,sawdust,rice hulls).
  3. Prepare and set up the brooder guard(18 inches high)
  4. Place feeders and waterers in circle around the brooder.
  5. Operate the brooder for at least 24hours before chicks arrival.Set the temperature at 33-35c[SUP]o[/SUP],and the temperature should be reduced 5 degrees each week until the chicks are three to four weeks old.Use 125watt bulb per 25 chicks.
  6. Fill the feeders and waterers a few hours before the chicks arrive

AFTER CHICKS ARRIVAL
  1. Introduce chicks to feed and water.Keep feed and water available to the chicks at all times.Provide fresh,clean feed and water.
  2. Adjust the brooder light if needed.For brooders,maintain the temperature for the first week and then reduce the temperature 5 degrees each week.For heat lamps, raise the lamps which chicks appear to be too warm:18 inches high for the first week and then raised 3 inches per week.
  3. Observe the chicks closely and routinely.
  4. Provide plenty of fresh air without drafts
  5. Keep the litter dry
  6. Walk among the birds daily
  7. Once the brooder/heat lamp is removed,provide another source of light.
 
Asante kwa contacts, nina swali moja. Je, maji ya visima hapa Dar yanafaa kunyweshea mifugo mfano kuku chotara au mbuzi? Nilitaka kujua kama hayafai nisichimbe kisima niwekeze kwenye matank.
 
Mkuu nimekukubali kwa nondo zako,December 2013 or January 2014 nategemea kuanza project ya kuku 10000 wa Mayai it's obvious unanifaa sana ntakutafuta kwa kila hatua kuanzia ujengaji wa mabanda hadi utafutaji wa vifaranga na kuendelea.Mwenyezi Mungu atupe uzima inshalaah
 
Mkuu nina matumaini kuwa una ujuzi na ufugaji wa kitimoto pia
 
Mkuu habari!nimewahi kufuga vifaranga wa malawi kama 70 hivi ila kumekuwa na changamoto kubwa sana ya vifo vya vifaranga na kuwalea kwa ujumla katika kipindi cha wiki ya kwanza hadi ya tatu.katika muda huo vifo vilikuwa vingi sana.kitalaamu idadi vifo ambavyo vinakubalika ni asilimia ngapi vinginevyo ni kuwa kuna tatizo.

Asante mkuu.
 
Asante mkuu Kichwa Ngumu kwa elimu nzuri juu ya ufugaji wa kuku. Mimi mwenzangu anafuga kwa kiwango cha chini na ni kweli kama mfugaji anaweza kuzuia idadi ya vifo, basi faida ni wazi sana. Sijui kama unaweza kutoa miongozo ya utengenezaji wa chakula, maana kwa uzoefu wangu mdogo mwenzangu alipojaribu kutengeneza chakula mwenyewe gharama ilikuwa kubwa zaidi ya gharama ya kununua rejareja.

Bahati mbaya sasa sina access ya mtandao, mara ukirudi nitakutumia kwa PM mchanganuo wa chakula. Ambacho nakumbuka ni mahindi ni kama kilo 850 kwa tani ya chakula (kuku wa nyama)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu habari!nimewahi kufuga vifaranga wa malawi kama 70 hivi ila kumekuwa na changamoto kubwa sana ya vifo vya vifaranga na kuwalea kwa ujumla katika kipindi cha wiki ya kwanza hadi ya tatu.katika muda huo vifo vilikuwa vingi sana.kitalaamu idadi vifo ambavyo vinakubalika ni asilimia ngapi vinginevyo ni kuwa kuna tatizo.Asante mkuu.
Kitaalam vifo inatakiwa viwe 10% ya kuku wote uliowaagaziza.
 
Back
Top Bottom